Napata mashaka na vitendo vya mwenza wangu, sijui ana nia au lengo gani

Kama ni nyau piga chini una demu ambae anaendeshwa na ushirikina in short ni tahira
Kinacho niumiza zaidi huyu ni mzazi mwenzangu, napata hofu pia kuhusu mwanangu kuwa na mama wa aina hii
 
Kinacho niumiza zaidi huyu ni mzazi mwenzangu, napata hofu pia kuhusu mwanangu kuwa na mama wa aina hii
Mchane ongea nae mwambie aache huo utoto wa kudanganyika kuwa wewe unarogeka then mwambie we unataka heshima sio mambo ya kurogana
 
Sema sio unyama kujitungia viuzi na kuvileta humu blud.
 
Mchane ongea nae mwambie aache huo utoto wa kudanganyika kuwa wewe unarogeka then mwambie we unataka heshima sio mambo ya kurogana
Pia nimegundua amejua kwamba mzazi wangu hana imani naye, ila nikithibitisha kwamba ana lengo baya nitamuuliza na kumpa msimamo wangu
 
Pole kwa huo ufala ungekuwa kwenye chama chetu Cha kataa kuoa na ndoa ungekuwa umefinguka akili ujiandae zezeta mtarajiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…