Napata mashaka na vitendo vya mwenza wangu, sijui ana nia au lengo gani

Kama umeyaona haya na umeshindwa kuchukua hatua basi hadi sasa dawa imeanza kufanya kazi. Kikubwa muombe asikuloge zaidi ya hapo
 
Ushalogwa
 
Umeongea kipumbavu,
unafikiri kipumbavu.
Wewe sio "Alfa male".
hujui unachosimamia

 
Mwenye macho haambiwi tazama
 
Ha ha haaa, mm kuna siku nilipata mchepuko bhana, demu chap kaja geto bas mwana nikavaa ndomu nikapga kimoko cha hamu, ila nimemaliza natoa ndomu naona demu anatoa kitambaa chake kweny mkoba wake, nikamuuliza kitambaa cha nn hicho? Demu akasema kwa ajili yako mpenzi nataka nikufute, nikamwambia " komaa kabisaa" yaan uje kwang halaf ww ndo unifute umeona mm sina vitambaa?? Sema mm nikupe kitambaa chang ujifute akabaki tuu kimyaaa. Tang siku hyoo ndo ikawa mwisho wetuuu
 
Kama umeyaona haya na umeshindwa kuchukua hatua basi hadi sasa dawa imeanza kufanya kazi. Kikubwa muombe asikuloge zaidi ya hapo
Sijashindwa kuchukua hatua ila nafanya uchunguzi zaidi ili nikifanya maamuzi nijue naanzia wapi
 
Naona ushafanywa zezeta tayari,maana hujielewi
 
Soon atakufanya zezeta
 
Mtu mwenye tabia zinazotia mashaka sio wa kukaa naye.We endelea kukaza fuvu,yawezekana mama yako roho imemkataa,mimi pia nikimkataa mtu at first sight ujue kuna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…