Napata Mshahara wa laki 3, nataka niache kazi nikajiajiri

Uza pikipiki uongeze mtaji
kisha Ingia chimbo uanze kuuza NAFAKA.
Ukiwa na 4mil kama mtaji ni pesa mingi sana.

ukiona inapendeza njoo PM nikutaftie mteja wa Boda hio
 
Hiyo ofisi haina allowance nyingine?
 
Iache..
 
Kwani ukiendelea na ajira huko na biashara huku utashindwa kusimamia?.... Biashara sijui ni upande wangu lkn kwasasa naona ni nzito sana!... Usiache kazi kwanza fikiria namna bora ya kuendesha biashara huku ukiwa kazini.
Kazi ya laki 3 ndo unamshauri mtu asiache kazi [emoji3]

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Link na yule jamaa wa tiktok anaeuza tishet za toka magetoni na tafuta hela uwe moja ya mawakala wake nadhani uhitaji ni mkubwa utafanya kazi
 
Kwani ukiendelea na ajira huko na biashara huku utashindwa kusimamia?.... Biashara sijui ni upande wangu lkn kwasasa naona ni nzito sana!... Usiache kazi kwanza fikiria namna bora ya kuendesha biashara huku ukiwa kazini.
Uchawi wa biashara nyingi hizi za uchuuzi, selling goods, nyingi ya hizi biashara uchawi wake ni mtaji, mtaji mkubwa ndiyo unakupa mapato makubwa.
Iko hivo.......
 
Ooh oooh aseee hapa ni kujipanga mzeeya.......
 
Naona kama nia unayo lakini sababu hauna...

UShauri tu, kabla ya kuacha kazi panga jambo utalotaka lifanya na namna ya kulifanya...
Aanze KULIFANYA likisimama aache kazi. Biashara bwana.. Muanzisha uzi ulishawahi fanya biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…