Napata shaka, kuna kikundi ndani ya CCM kinaratibu kumkwamisha Rais Samia 2025

Na hilo kundi lina nguvu Sana na linaratibiwa na watu wazito. Mama ninakupenda Sana na sielewi Kwa nini inner circle yako haioni yaliyosukwa
 
Hilo lipo wazi. Wanaumia anaposawazisha yaliyohalibiwa.
 
Hili ni wazi kwa wenye uwezo wa kupambanua mambo wameliona
 
Team mama. Walewale ambao hawakumtaka awe alivyo wana nguvu maana wameendelea kushukilia viti vyao. Kuna kundi hatari kuhakikisha wanaleta mambo magumu kwa wananchi ili kuharibu. My President. Wake up.
 
Umesema kweli kabisa. Ccm wengi wamemchukia tangu mwanzo. Wapinzani walimwona kama mkombozi lakini sasa wamechonganishwa na wengine wamegeuka sasa ni wengi wana mashaka. Mama bila sha atagundua hila hii.
Mitaani ni kama wananchi wamechoka, wamekasirika. Ccm, hii ni hatari.
 
mama kamata hapo hapo, hawa nguchiro walikatika sana viuno kusikia umekamata sabaya.

kwa sasa eti unakwamishwa[emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe mnufaika wa kuwaibia chadema Simu pesa zao pindi mlipoenda kuwakamata kienyeji kwa njia haramu za kishetani lazima ushabikie upumbavu wenu ambao unaenda kuwagharimu
 
Kote Duniani wanamjadili kwa njia zote na wengi sasa wanamuona dikiteta
 
mama kamata hapo hapo, hawa nguchiro walikatika sana viuno kusikia umekamata sabaya.

kwa sasa eti unakwamishwa[emoji16][emoji16][emoji16]
Tena kama yule gaidi mbowe astoke kbs
 

Stupid.
 
Nakuunga mkono kwa asilimia 100.President Samia ana miezi 4 tu ,tayari washaanza kumsema lakini watashindwa.NI SUKUMA GANG NA WANAJULIKANA.NDIO MAANA NILIANDIKA HAPA ALIKOSEA TOKEA MWANZO KUTEUA WATU AMBAO SASA WANAMHUJUMU.HAINGII AKILINI MWEZI MMOJA TU ALIWAACHIA MASHEIKH WA UAMSHO HALAFU JUZI AMKAMATE CHAIRMAN MBOWE.TENA MWANZA KWA HAO SUKUMA GANG.HILI KUNDI LINA MTANDAO MKUBWA NDANI NA NJE YA NCHI.KWA SASA AWAACHIE KWA KUTUMIA MADARAKA YAKE CHADEMA WOTE NA AKATAZE MIKUTANO YOTE YA CCM,CHADEMA NA WENGINEO KWA SABABU YA COVID 19.PRESIDENT SAMIA IONYESHE DUNIA KUWA WEWE NI SHUJAA.
 
Anayeiongoza nchi ni Rais wa nchi kama ilivyokuwa kwa waliopita the only difference is she is a woman...Taasisi ya urais haijabadilika wala chama kilichomadarakani hakijabadilika kisha Rais huyu ameshakaa kwenye nafasi ya usaidizi wa Rais kwa miaka 6 je kuna mtu mzoefu kama yeye?
Acheni uchongamishi nyie viumbe. Tafuteni madaraka kwa njia za halali msipende shortcut...Kijengeni chama chenu kwanza madaraka yatakuja automatically
 
Halafu ghafla mwigulu anasimamishwa na kupongezwa na raia.
 
Hehe so ilikuaje mkutano hamkufanyia moshi ili msihujumiwe na sukuma gang?

Mwanzo mlisema mama amesafisha sukuma gang wote, imekuaje tena?

Kwanini msikubali kwamba mnafanya siasa-ushamba ambazo hata malaika hawezi vumilia!

Mnafanya siasa za kitoto ili mamlaka zikiwachukulia hatua muonekane na jumuia za kimataifa mnaonewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…