Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungate limekwisha...Mama anatakiwa aelewe kwamba tokea ameshika kijiti Mataga wengi hawako upande wake na hili liko wazi, watu ambao walikuwa wanampa support kwa asilimia kubwa na wale wa upande wa pili na slogan yao "anaupiga mwingi"
Nakumbuka hata yeye mwenyewe kuna siku alisema kuwa anasikia nje watu wakimsifia kuwa anaenda vizuri, swali ni je kama upande wa pili kaharibu vibaya mno tena ndani ya muda mfupi hasa ishu ya Mbowe atasapotiwa na nani sasa?
Lipi?Fungate limekwisha...
Hapo hata robo ya sababu nilikuwa sijamaliza.Aisee. Umemfanya nyani ngabu aonekane mweupe mno. Umemgaragaza. Mpumzishe sasa tafazali [emoji38][emoji38][emoji38]
Ni kweli ulichoandika,ata ivyo huyu mama uwezo wake wa kushughulika na mambo ni mdogo sana.Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa kutuvusha, ili waseme tunahitaji mwanaume asimame.
Haiwezekani unatuma vyombo vya usalama wanaenda usiku kukamata kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani, chama ambacho ndio mbadala wa chama tawala kwa sababu tu anataka kufanya kongamano la kujadili katiba mpya kitu ambacho hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kitu hiki kimeripotiwa media zote za kimataifa na sasa inafahamika kua Tanzania hakuna utulivu wa kisiasa (Political instability). Mwekezaji gani ataamini kua Tanzania mazingira yamebadilika kama vyombo vya usalama vinakamata mtu bila kosa lolote? Mambo ya kubambikiziana kesi kweli yamekwisha? Ni mfadhili gani alete misaada yake eneo ambalo sasa litssomeka kuna migogoro ya kikatiba?
Hili kundi linaelewa madhara makubwa ya kumkamata Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, hiki chama kina mahusiano na Democratic parties mbali mbali duniani tena vyenye dola katika mataifa makubwa makubwa. Kufanya hivi kumeichafua sana taswira ya nchi na ndio hapa Mama atakwamishwa makusudi.
Bado kuna suala la tozo za miamala, ukiliangalia kwa makini utaona ni kama lineratibiwa kiufundi sana kumchonganisha Mama na wananchi ingawa ameshtuka mapema. Hii haijawahi kutokea wananchi wanapandishiwa Tozo maradufu zaidi kwenye huduma wanayotegemea kwa kiasi kikubwa, halafu bado waziri anatoka hadharani na kuwatukana wananchi wanaolalamika tena anaongea kwa kibri bila kupima madhara yake. Huyu kiongozi unaweza kuhisi ni kama alitumwa kumharibia Mama makusudi.
Naweza kuandika haya na yakachukuliwa poa lakini tutajuana mbele ya safari. Kinachofuata ni kuibuka kwa migogoro ndani ya CCM yenyewe muda si mrefu. Hali hii itamkatisha tamaa sana Mama.
Mama wanamuendesha, anajiharibia kabisakabisaTeam Jiwe ndani ya CCM ishaanza kumharibia mama nje na ndani ya Tanzania...tangu juzi jana na leo Maza ana trend kimataifa vibaya mno.
Mkuu,Mkuu. On a serious note embu nipe mwongozo on how do I become this much great analytical thinker. Unapindua hoja nzito with ease.
Hapa jamvini hakuna wasiotambua na ku appreciate uwezo wako wa kujibu na kujenga hoja. Wengi hawawezi ku appreciate kutokana na msimamo wako wa masuala ya imani lakini ukweli unasimama
Nina mpango wa kununua masterclass ya Neil DeGreasse Tyson for my own personal development, una recommend? Kama unaweza recommend some readings i will appreciate.
Ntafurahi kama hazitogusia mambo ya dini na imani kwasababu katika hilo i am not prepared to change my way of thinking. Namuamini sana Mungu, najua aliponitoa.
Thank you in advance, Sir
Uhaini?Prof Kaboko,
Naona kitu ambacho ama hukioni au unajifanya hukioni.
Freeman Mbowe alimsonya Rais Samia hadharani na kuazimia kuangusha serikali kwa njia ya makongamano, mikutano ya hadhara na maandamano.
Kwa ufupi, Mbowe alitangaza nia ya kufanya uhaini, pure and simple.
Hauzifahamu kanuni za kuwashughulikia watu wenye dhamira ya kufanya uhaini?
Wewe ungekuwa mkuu wa serikali usingezitumia?
We have to call a spade not a spoon.
Mama anaupiga mwingi.Yaani unaleta habari za "kusonyana", hayo mambo ya kikekike peleka Saluni.
Asonywe asisonywe inabidi atii katiba na kiapo cha urais alichoapa yaani kutawala kwa mujibu wa sheria!
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.Kuna namna siyo bure...
Aisee. Umemfanya nyani ngabu aonekane mweupe mno. Umemgaragaza. Mpumzishe sasa tafazali [emoji38][emoji38][emoji38]
Mwigulu ni pandikizi la waliokataa mama kupewa Uraisi. Mama Samia asiposhitukia huu mpango unaouongelea hapa itakula kwake, unless awe hataki tena kugombea 2025.Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa kutuvusha, ili waseme tunahitaji mwanaume asimame.
Haiwezekani unatuma vyombo vya usalama wanaenda usiku kukamata kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani, chama ambacho ndio mbadala wa chama tawala kwa sababu tu anataka kufanya kongamano la kujadili katiba mpya kitu ambacho hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kitu hiki kimeripotiwa media zote za kimataifa na sasa inafahamika kua Tanzania hakuna utulivu wa kisiasa (Political instability). Mwekezaji gani ataamini kua Tanzania mazingira yamebadilika kama vyombo vya usalama vinakamata mtu bila kosa lolote? Mambo ya kubambikiziana kesi kweli yamekwisha? Ni mfadhili gani alete misaada yake eneo ambalo sasa litssomeka kuna migogoro ya kikatiba?
Hili kundi linaelewa madhara makubwa ya kumkamata Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, hiki chama kina mahusiano na Democratic parties mbali mbali duniani tena vyenye dola katika mataifa makubwa makubwa. Kufanya hivi kumeichafua sana taswira ya nchi na ndio hapa Mama atakwamishwa makusudi.
Bado kuna suala la tozo za miamala, ukiliangalia kwa makini utaona ni kama lineratibiwa kiufundi sana kumchonganisha Mama na wananchi ingawa ameshtuka mapema. Hii haijawahi kutokea wananchi wanapandishiwa Tozo maradufu zaidi kwenye huduma wanayotegemea kwa kiasi kikubwa, halafu bado waziri anatoka hadharani na kuwatukana wananchi wanaolalamika tena anaongea kwa kibri bila kupima madhara yake. Huyu kiongozi unaweza kuhisi ni kama alitumwa kumharibia Mama makusudi.
Naweza kuandika haya na yakachukuliwa poa lakini tutajuana mbele ya safari. Kinachofuata ni kuibuka kwa migogoro ndani ya CCM yenyewe muda si mrefu. Hali hii itamkatisha tamaa sana Mama.
Kipigo gani wakati I was being plainly sarcastic?Sawa mkuu Ngabu. Lakini hiko kipigo umekula sio cha kitoto [emoji38][emoji38][emoji38]. Kwa kifupi umenyooshwa mkuu. Kiranga hana huruma kabisa, utadhani hamfahamiani bwana daaah
Nafikiri utakuwa umesikia kauli ya Simbachawene leo kuwa amewaonya askari wake waache kubambikizia kesiKama polisi wamekosea si itaonekana mahakamani kwenye kesi….
Kwa nini Rais aingilie mchakato wakati mchakato una hatua zake zilizopo kisheria?