Napata shaka, kuna kikundi ndani ya CCM kinaratibu kumkwamisha Rais Samia 2025

Napata shaka, kuna kikundi ndani ya CCM kinaratibu kumkwamisha Rais Samia 2025

It’s inescapable that they [the opposition] didn’t try Magufuli that much.

He had the persona of a tough guy. No nonsense [for lack of better word] type of guy.

And now comes a woman…a soft spoken one at that. All of a sudden they’re talking tough?

Even my 4 yr old baby girl will see it for what it is.
Angekuwa rais Mpango wakamtest ungesema wamemtest kwa sababu mwanamke?

Walivyomtest Kikwete mpaka kumuita dhaifu, rais ambaye hakuwa no nonsense kama Magufuli naye walimtest kwa sababu ni mwanamke?
 
Kikwete ni chekibobu yule. Siyo tough guy.

Ulishawahi kumwona Kikwete akipiga push up au akicheza Mapanga shaaa ya TMK Wanaume kama alivyokuwa Magufuli?

Ahaa, kwa hiyo rais anaweza kuwa tested kwa sababu ni chekibobu, si lazima awe tested kwa sababu ni mwanamke, siyo?
 
Ahaa, kwa hiyo rais anaweza kuwa tested kwa sababu ni chekibobu, si lazima awe tested kwa sababu ni mwanamke, siyo?
Anaweza kuwa tested akionekana ni sleki mayai, mdhaifu [Mnyika alimwita Kikwete dhaifu], akiwa
Mwanamke, nk.

Wanawake wengi wana haiba ya upole.

Mwanamke hata akienda gereji peke yake mafundi magari wanaweza kumuingiza mkenge kisa tu ni mwanamke.
 
Sasa unajuaje huyu anakuwa tested kwa sababu ni mwanamke na si kwa sababu ni sleki mayai/ dhaifu/ anakikanganya?
 
Sasa unajuaje huyu anakuwa tested kwa sababu ni mwanamke na si kwa sababu ni sleki mayai/ dhaifu/ anakikanganya?
Kwanza…yeye mwenyewe alizungumzia jinsia yake.

Pili, tunaambiwa ni mama. Ni msikivu. Kawatoa akina Mdude Nyagali gerezani.

Tatu, hafokei watu 😅
 
Kwanza…yeye mwenyewe alizungumzia jinsia yake.

Pili, tunaambiwa ni mama. Ni msikivu. Kawatoa akina Mdude Nyagali gerezani.

Tatu, hafokei watu 😅

You can't be serious. I see what you are doing there.

Oscar Wilde said sarcasm is the lower end of wit but the highest form of intelligence.
 
Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa kutuvusha, ili waseme tunahitaji mwanaume asimame.

Haiwezekani unatuma vyombo vya usalama wanaenda usiku kukamata kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani, chama ambacho ndio mbadala wa chama tawala kwa sababu tu anataka kufanya kongamano la kujadili katiba mpya kitu ambacho hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kitu hiki kimeripotiwa media zote za kimataifa na sasa inafahamika kua Tanzania hakuna utulivu wa kisiasa (Political instability). Mwekezaji gani ataamini kua Tanzania mazingira yamebadilika kama vyombo vya usalama vinakamata mtu bila kosa lolote? Mambo ya kubambikiziana kesi kweli yamekwisha? Ni mfadhili gani alete misaada yake eneo ambalo sasa litssomeka kuna migogoro ya kikatiba?

Hili kundi linaelewa madhara makubwa ya kumkamata Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, hiki chama kina mahusiano na Democratic parties mbali mbali duniani tena vyenye dola katika mataifa makubwa makubwa. Kufanya hivi kumeichafua sana taswira ya nchi na ndio hapa Mama atakwamishwa makusudi.

Bado kuna suala la tozo za miamala, ukiliangalia kwa makini utaona ni kama lineratibiwa kiufundi sana kumchonganisha Mama na wananchi ingawa ameshtuka mapema. Hii haijawahi kutokea wananchi wanapandishiwa Tozo maradufu zaidi kwenye huduma wanayotegemea kwa kiasi kikubwa, halafu bado waziri anatoka hadharani na kuwatukana wananchi wanaolalamika tena anaongea kwa kibri bila kupima madhara yake. Huyu kiongozi unaweza kuhisi ni kama alitumwa kumharibia Mama makusudi.

Naweza kuandika haya na yakachukuliwa poa lakini tutajuana mbele ya safari. Kinachofuata ni kuibuka kwa migogoro ndani ya CCM yenyewe muda si mrefu. Hali hii itamkatisha tamaa sana Mama.
Huu ndiyo ukweli na haukwepeki. Madaraka matamu. Ni mbinu nzuri waache wafu wazike wafu wao.
 
Marais ndo huwa wanazifanya nchi ziwe banana republic kwa kukiuka katiba, kuingilia majukumu yasiyo yao, nk, kwa kutumia state organs kama polisi na majeshi!
sasa hapo unawalaumu marais badala ya kulaumu katiba ambazo ndo zimewapa mamlaka ya kuviongoza vyombo hivyo vya ulinzi na usalama.
Hivi assume wewe ndo unakuwa amir jeshi Mkuu , aharafu anatokea mtu anakwambia atakunyoa kwa wembe aliomnyolea mtangulizi wako . hiv mtu Kama huyo hutomdhibit?
 
If something is wrong, it is wrong regardless of who is president.

So let's discuss right or wrong regardless of the presidency.

Every presidency should be tested if the testing is about making the constitution better, regardless of the gender of the president.

And if the opposition was wrong by not testing the previous president enough, they should not continue to be wrong by not testing the current president.

Not because she is a woman, but because she is the president.

Overemphasizing the fact that she is a woman in a paternalistic way is actually shortchanging her rightful position as a full president.

In a way that says "this is not a full president, this is only a woman president, please don't test her so much".
THANK YOU SIR! ... we don't need gender based affirmative action when it comes to judjing A PRESIDENCY!
 
Alikosea pale mwanzo kwenye teuzi zake hivyo kama ataangushwa ni yeye mwenyewe alitaka. Sasa genge linaupiga mwingi na mama anabaki kushangaa. Kongole na laana ziliangukie genge kwa kufanikiwa kupanga mbinu ovu kuichafua Tanzania.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
sasa hapo unawalaumu marais badala ya kulaumu katiba ambazo ndo zimewapa mamlaka ya kuviongoza vyombo hivyo vya ulinzi na usalama.
Hivi assume wewe ndo unakuwa amir jeshi Mkuu , aharafu anatokea mtu anakwambia atakunyoa kwa wembe aliomnyolea mtangulizi wako . hiv mtu Kama huyo hutomdhibit?
Katiba haiwalazimishi wawe madikteta wewe!
 
Kosa lake la kwanza ni kusema kuwa yeye hawezi kufuatilia na kukariri takwimu kama Yule mtangulizi wake.

Na kosa lingine ni kusema yeye hana namna yake ya uongozi zaidi ya kuwa kitu kimoja na mtangulizi wake.
Alimaanisha kuwa hana jipya.
Kwa kauli ule alinivunja moyo sana mana nilikua namkubali sana.

Kosa lake la tatu ni kuwakumbatia wale waliokua wameapa kuwa watiifu kwa yule aliyemtayngulia.

Alipaswa awafurumishe wale wote walioteuliwa na mwenda zake kisha aunde watu wanaoweza kubeba maona yake na kuyafanyiia kazi

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa kutuvusha, ili waseme tunahitaji mwanaume asimame.

Haiwezekani unatuma vyombo vya usalama wanaenda usiku kukamata kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani, chama ambacho ndio mbadala wa chama tawala kwa sababu tu anataka kufanya kongamano la kujadili katiba mpya kitu ambacho hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kitu hiki kimeripotiwa media zote za kimataifa na sasa inafahamika kua Tanzania hakuna utulivu wa kisiasa (Political instability). Mwekezaji gani ataamini kua Tanzania mazingira yamebadilika kama vyombo vya usalama vinakamata mtu bila kosa lolote? Mambo ya kubambikiziana kesi kweli yamekwisha? Ni mfadhili gani alete misaada yake eneo ambalo sasa litssomeka kuna migogoro ya kikatiba?

Hili kundi linaelewa madhara makubwa ya kumkamata Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, hiki chama kina mahusiano na Democratic parties mbali mbali duniani tena vyenye dola katika mataifa makubwa makubwa. Kufanya hivi kumeichafua sana taswira ya nchi na ndio hapa Mama atakwamishwa makusudi.

Bado kuna suala la tozo za miamala, ukiliangalia kwa makini utaona ni kama lineratibiwa kiufundi sana kumchonganisha Mama na wananchi ingawa ameshtuka mapema. Hii haijawahi kutokea wananchi wanapandishiwa Tozo maradufu zaidi kwenye huduma wanayotegemea kwa kiasi kikubwa, halafu bado waziri anatoka hadharani na kuwatukana wananchi wanaolalamika tena anaongea kwa kibri bila kupima madhara yake. Huyu kiongozi unaweza kuhisi ni kama alitumwa kumharibia Mama makusudi.

Naweza kuandika haya na yakachukuliwa poa lakini tutajuana mbele ya safari. Kinachofuata ni kuibuka kwa migogoro ndani ya CCM yenyewe muda si mrefu. Hali hii itamkatisha tamaa sana Mama.
Atakaye mukwamisha Rais Samia ni Kikwete. Na kuacha legacy ya Hayati Magufuli. Sio siri serikali ya nne, tuseme bila ya kumumunya maneno ilishindwa uongozi. Kikwete angewaomba radhi Watanzani. CCM ilikuwa inanuka ufisadi. Watu walikichukia chama, Samia anasema serikali zote zilifanya vizuri. Ana wafanya Watanzania wajinga. Kukamatwa kwa Mbowe sio kumuchonganisha mama na serikali za kimataifa. Ni kuchunga usalaama wa nchi. Ni Watanzania ndiyo wana matters na sio serikali za nje.

Wapinzani waache ujinga wa kuwatisha viongozi wa Tanzania kutumia mataifa ya nje. Mataifa ya Ulaya hayana interest ya demokrasia ya Afrika. Wanatumia neno demokrasia na haki za binadamu kuweka Afrika kwenye umasikini. Lazima Afrika iwe masikini kutumia kila njia. Africa ikiwa tajiri nchi za Ulaya maisha yawo yatashuka.

Watu kama Mbowe na Tundu Lissu ndiyo wanatumiwa kuifanya Tanzania masikini. Katika Marais wa Africa ni Hayati Magufuli, Kagame na RAIS WA GHANA ndiyo viongozi walikuwa hawatishwi na viongozi wa Ulaya. Kumukamata Mbowe sio kitu kikubwa. Tanzania ni nchi huru haiko chini ya nchi yeyote

Kagame kamukamata mpinzani wake, Paul Rusesabagina mwenye uraia wa Ubeligiji na mukaaji wa Marekani. Alijazeera ikataganza, na vitisho vingi, Kagame hakugeuka hata kuwa angalia. Wacha hizi nyimbo za demokrasi, nchi za kiafrika zinahitaji viongizi wasiotishika, waaminifu na wenye uchungu wa nchi zao. Sio watu kama Tundu Lissu wenye kuogopa wazungu na kusema wazungu wametusaidia zaidi ya miaka 70 Lazima tuwapigie magoti. WAJINGA HAO. WATANZANIA TUMEFIWA NA RAIS AMBAYE ANGETUTOWA KWENYE UMASIKINI. LAKINI TUNAONA MAMA ANATOKA KWENYE RELI YA HAYATI MAGUFULI NA KUTUPITISHA KICHAKANI.
 
Watanzania turuhusiwe kufikiri na kusema ukweli!
Viongozi wetu wajifunze Kujibu hoja kwa Maneno siyo bunduki ama jela
 
Back
Top Bottom