Napata shaka, kuna kikundi ndani ya CCM kinaratibu kumkwamisha Rais Samia 2025

Napata shaka, kuna kikundi ndani ya CCM kinaratibu kumkwamisha Rais Samia 2025

Kama polisi wamekosea si itaonekana mahakamani kwenye kesi….

Kwa nini Rais aingilie mchakato wakati mchakato una hatua zake zilizopo kisheria?
Kw sababu justice delayed is justice denied.

Kwa sababu watu wanaweza kufa in the meantime.

Kwa sababu hata mahakama haipo above kujipendekeza kisiasa ikifikiri inamfurahisha rais wakati rais hapendi uonevu.

Kwa sababu hata rais ana wajibu wa kuhakikisha haki inatendeka nchini, hilo si jukumu la mahakama tu.

Kwa sababu mashtaka yanapelekwa mahakamani kwa jina la jamhuri, na rais ndiye muhifadhi wa mwisho wa jamhuri.

Kwa sababu rais ana wajibu wa kulinda jina la nchi libakie kuwa safi lisichafuliwe na headlines negative zinazosababishwa na polisi wa ngazi za chini wasioelewa grand strategic plans za ku brand nchi.
 
Watu wamekamatwa juzi tu. Where is that justice that has been delayed?

Give justice a chance!

Let the process play itself out in court.
 
Pamoja na yote yanayoibuka, mama kaomba muda halafu mengine atayatimiza. Kwnini tusimwamini Watanzania bwenzangu. Sioni mantiki ya kuanza kutoa kauli kali sana ilihari kaomba muda. Tuvute subira atekeleze mipango yake.
 
Mitano tena.
Wapigwe tu maana hakuna namna, .
Kama
Mwenyekiti angekuwa makini asingeruhusu wajinga kusema watanyoa kwa Wembe. Na huyo mjinga akijichanganya this time .....
Na bado
 
CCM ni mafia....washaanza kumfix maza...unafunguaje nchi wakati hutaki freedom of speech.

Mwekezaji gani mwenye akili atakusikiliza
 
Watu wamekamatwa juzi tu. Where is that justice that has been delayed?

Give justice a chance!

Let the process play itself out in court.
Unaongea kama hii ni mara ya kwanza Mbowe kukamatwa, wakati kuna mkakati wa kimfumo wa ku frustrate upinzani kwa kuwakamatakamata kwa kesi zisizo na msingi.
 
Unaongea kama hii ni mara ya kwanza Mbowe kukamatwa, wakati kuna mkakati wa kimfumo wa ku frustrate upinzani kwa kuwakamatakamata kwa kesi zisizo na msingi.
Ni mara ya kwanza chini ya Samia.
 
Serikali inaangushwa kwa makongamano?
You must be drunk......
Who is drunk? I think you have read my post while under undue influence. Read this carefully:

Mbowe aliwambia waandishi wa habari kuwa atatekeleza mkakati wa makongamano, mikutano ya hadhara na maandamano kama njia ya kuifikisha nchi kwenye "tipping point" kama ilivyo kule Afrika ya Kusini.

A tipping point is the critical point in a situation, process, or system beyond which a significant and often unstoppable effect or change takes place.

Just as a single sick person can start an epidemic of the flu, so too can a small but precisely targeted push cause a fashion trend, the popularity of a new product, a rise in the crime rate.

In this case, according to Mbowe's example of South African recent events, he refers to the tipping point between peace and violence.

Jambo hili linathibitishwa na maneno ya Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, anayesema, "at the tipping point People's Power is more powerful than the people in power."

Na kwa ujumla, People's Power inaweza kujitokeza katika scenarios mbili. Kwanza kuna EITHER/OR SCENARIO, yaani, EITHER coercive peoples power OR democratic people's power.

Na kuna BOTH/AND SCENARIO, yaani BOTH coercive peoples power AND democratic people's power.

Ukisikiliza hotuba ya Mbowe aliyoitoa Mwanza kwa waandishi, Mbowe utaona kuwa anamaanisha mkakati huu wa pili.

Kwa ufupi, sikiliza hotuba hiyo, kisha linganisha na maneno haya hapa chini ili uone yuko salama au hatarini kwa kiasi gani.

Finally, utakubaliana nami kuwa alijipeleka kwenye mtego wa uhaini kwa kauli zake mwenyewe:

"security" means the protection of the United Republic from acts of espionage, sabotage and subversion, whether or not it is directed from or intended to be committed within the United Republic;

"subversion" means attempting, inciting, counselling, advocating or encouraging: (a) the overthrow by unlawful means of the Government of the United Republic or of the Revolutionary Government of Zanzibar; (b) the undermining by unlawful means of the authority, of the State in the United Republic.

"threats to the security of the United Republic" means

(a) espionage, sabotage or other activities which are against Tanzania or are detrimental to the integrity, sovereignty or other interests of Tanzania or activities directed toward or in support of such espionage or sabotage.

(b) foreign influenced activities within or relating to Tanzania that are detrimental to the interests of Tanzania, are clandestine or deceptive or involve a threat to any person.

(c) activities within or relating to Tanzania directed toward or in support of the threat or use of acts of serious violence- against persons or property for the purpose of achieving a political objective within Tanzania or a foreign state; and

(d) activities directed toward undermining by covert unlawful acts, or directed toward or intended ultimately to lead to the destruction or overthrow by violence of, the constitutionally established system of government in Tanzania, but does not include lawful advocacy, protest or dissent, unless carried on in conjunction with any of the activities referred to in paragraphs (a) to (d)

Source ni Section 3 of TISS Act (1996). Maneno haya yasomwe kwa pamoja na ibara ya 11 ya National Security Act (1970) isemayo hivi:

"Attempts: Any person who attempts to commit any offence under this Act, or solicits or incites or endeavors to persuade another person to commit any such offence, or aids or abets or does any act preparatory to the commission of such an offence, shall be guilty of an offence and liable on conviction to the same penalties as if he had been convicted of that offence."
 
Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa kutuvusha, ili waseme tunahitaji mwanaume asimame.

Haiwezekani unatuma vyombo vya usalama wanaenda usiku kukamata kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani, chama ambacho ndio mbadala wa chama tawala kwa sababu tu anataka kufanya kongamano la kujadili katiba mpya kitu ambacho hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kitu hiki kimeripotiwa media zote za kimataifa na sasa inafahamika kua Tanzania hakuna utulivu wa kisiasa (Political instability). Mwekezaji gani ataamini kua Tanzania mazingira yamebadilika kama vyombo vya usalama vinakamata mtu bila kosa lolote? Mambo ya kubambikiziana kesi kweli yamekwisha? Ni mfadhili gani alete misaada yake eneo ambalo sasa litssomeka kuna migogoro ya kikatiba?

Hili kundi linaelewa madhara makubwa ya kumkamata Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, hiki chama kina mahusiano na Democratic parties mbali mbali duniani tena vyenye dola katika mataifa makubwa makubwa. Kufanya hivi kumeichafua sana taswira ya nchi na ndio hapa Mama atakwamishwa makusudi.

Bado kuna suala la tozo za miamala, ukiliangalia kwa makini utaona ni kama lineratibiwa kiufundi sana kumchonganisha Mama na wananchi ingawa ameshtuka mapema. Hii haijawahi kutokea wananchi wanapandishiwa Tozo maradufu zaidi kwenye huduma wanayotegemea kwa kiasi kikubwa, halafu bado waziri anatoka hadharani na kuwatukana wananchi wanaolalamika tena anaongea kwa kibri bila kupima madhara yake. Huyu kiongozi unaweza kuhisi ni kama alitumwa kumharibia Mama makusudi.

Naweza kuandika haya na yakachukuliwa poa lakini tutajuana mbele ya safari. Kinachofuata ni kuibuka kwa migogoro ndani ya CCM yenyewe muda si mrefu. Hali hii itamkatisha tamaa sana Mama.
Kwani yeye si ndio big boss?
Kwanini asichukue maamuzi magumu kwa hao wanaotoka hadharani kutukana wananchi?

Yaani angejua huku mtaani anavyochukuliwa, angeamua kuachia nafasi mapema sana. Hana ushawishi tena. Watu wakimsikia ni kusonya tu maana imekua kama ameingia kukomoa wananchi ambao anajua fika hali zao kiuchumi haziko sawa.

Ajitafakari sana maana haya maisha hayana mwenyewe
 
Samia amekuwa VP tangu 2015.

Na alisema CCM itashinda whether watu wameipigia kura au hawajaipigia kura.

Astatement that is totally dismissive of the opposition.

Akaenda kukataa kuruhusu mikutano ya kisiasa kama rais.
Samia is on record instructing her underlings not to hit people with trumped up charges.

She is also a woman. A mother. A grandmother.

So she must be very compassionate.

Na ni msikivu. Anaupiga mwingi 😅.

You don’t trust her?
 
Samia is on record instructing her underlings not to hit people with trumped up charges.

She is also a woman. A mother. A grandmother.

So she must be very compassionate.

Na ni msikivu. Anaupiga mwingi [emoji28].

You don’t trust her?
Eti na anaupiga mwingi...[emoji28]
 
Prof Kaboko,

Naona kitu ambacho ama hukioni au unajifanya hukioni.

Freeman Mbowe alimsonya Rais Samia hadharani na kuazimia kuangusha serikali kwa njia ya makongamano, mikutano ya hadhara na maandamano.

Kwa ufupi, Mbowe alitangaza nia ya kufanya uhaini, pure and simple.

Hauzifahamu kanuni za kuwashughulikia watu wenye dhamira ya kufanya uhaini?

Wewe ungekuwa mkuu wa serikali usingezitumia?

We have to call a spade not a spoon.
Ni kwa sheria ipi ya Tanzania ambayo inasema kufanya makongamano ya katiba mpya kwa amani ni uhaini? Otherwise utakuwa unapoteza muda kwa hoja na maswali yasiyo na msingi
 
Samia is on record instructing her underlings not to hit people with trumped up charges.

She is also a woman. A mother. A grandmother.

So she must be very compassionate.

Na ni msikivu. Anaupiga mwingi 😅.

You don’t trust her?
Are you condescending that because she is a woman her underlings do not listen to what she instructed?
 
Are you condescending that because she is a woman her underlings do not listen to what she instructed?
Well, one could also posit that the opposition is testing her tensile strength just because she is a woman.

Why so much noise now about a new constitution when it was basically radio silence when her predecessor was in power?

Who dared confronting Magufuli about the need for a new constitution?
 
If something is wrong, it is wrong regardless of who is president.

So let's discuss right or wrong regardless of the presidency.

Every presidency should be tested if the testing is about making the constitution better, regardless of the gender of the president.

And if the opposition was wrong by not testing the previous president enough, they should not continue to be wrong by not testing the current president.

Not because she is a woman, but because she is the president.

Overemphasizing the fact that she is a woman in a paternalistic way is actually shortchanging her rightful position as a full president.

In a way that says "this is not a full president, this is only a woman president, please don't test her so much".
 
It’s inescapable that they [the opposition] didn’t try Magufuli that much.

He had the persona of a tough guy. No nonsense [for lack of better word] type of guy.

And now comes a woman…a soft spoken one at that. All of a sudden they’re talking tough?

Even my 4 yr old baby girl will see it for what it is.

NB: about her gender. She’s the one who basically brought it up at the funeral.

Napata shaka ndani ya CCM kinaratibu mipango kiufundi sana kumkwamisha Mama 2025 ikiwa anatahitaji tena kugombea. Hili jambo tunaweza kuona kama masihara lakini tutaelewana tu mbele ya safari. Wanataka kumchonganisha Mama na wananchi na jumuiya za kimataifa ili kufikia 2025 waseme ameshindwa kutuvusha, ili waseme tunahitaji mwanaume asimame.

Haiwezekani unatuma vyombo vya usalama wanaenda usiku kukamata kiongozi wa chama kikubwa cha upinzani, chama ambacho ndio mbadala wa chama tawala kwa sababu tu anataka kufanya kongamano la kujadili katiba mpya kitu ambacho hakuna kosa lolote kisheria alilofanya. Kitu hiki kimeripotiwa media zote za kimataifa na sasa inafahamika kua Tanzania hakuna utulivu wa kisiasa (Political instability). Mwekezaji gani ataamini kua Tanzania mazingira yamebadilika kama vyombo vya usalama vinakamata mtu bila kosa lolote? Mambo ya kubambikiziana kesi kweli yamekwisha? Ni mfadhili gani alete misaada yake eneo ambalo sasa litssomeka kuna migogoro ya kikatiba?

Hili kundi linaelewa madhara makubwa ya kumkamata Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, hiki chama kina mahusiano na Democratic parties mbali mbali duniani tena vyenye dola katika mataifa makubwa makubwa. Kufanya hivi kumeichafua sana taswira ya nchi na ndio hapa Mama atakwamishwa makusudi.

Bado kuna suala la tozo za miamala, ukiliangalia kwa makini utaona ni kama lineratibiwa kiufundi sana kumchonganisha Mama na wananchi ingawa ameshtuka mapema. Hii haijawahi kutokea wananchi wanapandishiwa Tozo maradufu zaidi kwenye huduma wanayotegemea kwa kiasi kikubwa, halafu bado waziri anatoka hadharani na kuwatukana wananchi wanaolalamika tena anaongea kwa kibri bila kupima madhara yake. Huyu kiongozi unaweza kuhisi ni kama alitumwa kumharibia Mama makusudi.

Naweza kuandika haya na yakachukuliwa poa lakini tutajuana mbele ya safari. Kinachofuata ni kuibuka kwa migogoro ndani ya CCM yenyewe muda si mrefu. Hali hii itamkatisha tamaa sana Mama.
Wameshasema amekamatwa kwa tuhuma za ugaidi siyo maswala ya Kongamano la Katiba mkuu!
 
Back
Top Bottom