Hii ni point kubwa sana na ya msingi. Kongole ndugu
kalonji .
Bila ya kufanya hivi,hatafanya chochote cha maana.
Na wengine kwa kuliona hili,tulienda mbali kwa kumshauri Mh. Rais Samia aitishe uchaguzi mkuu mpya ukiwemo na uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kwa timu hii (wabunge,madiwani,wenyeviti wa serikali za mitaa) iliyowekwa "kiharamia" na mwendakuzimu,Mh Samia hawezi kupata viongozi bora wa kumsaidia kulipeleka taifa mbele.
Hivi Mwigulu,Kabudi,Msukuma,Zungu,Ndugai na wabunge wate 300+,ni nani wa kuweza kusema alichaguliwa na wananchi kwa jitihada zake za kuwapigania wananchi hao!!??