Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kw sababu justice delayed is justice denied.Kama polisi wamekosea si itaonekana mahakamani kwenye kesi….
Kwa nini Rais aingilie mchakato wakati mchakato una hatua zake zilizopo kisheria?
Kwa sababu watu wanaweza kufa in the meantime.
Kwa sababu hata mahakama haipo above kujipendekeza kisiasa ikifikiri inamfurahisha rais wakati rais hapendi uonevu.
Kwa sababu hata rais ana wajibu wa kuhakikisha haki inatendeka nchini, hilo si jukumu la mahakama tu.
Kwa sababu mashtaka yanapelekwa mahakamani kwa jina la jamhuri, na rais ndiye muhifadhi wa mwisho wa jamhuri.
Kwa sababu rais ana wajibu wa kulinda jina la nchi libakie kuwa safi lisichafuliwe na headlines negative zinazosababishwa na polisi wa ngazi za chini wasioelewa grand strategic plans za ku brand nchi.