Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo.
Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za kuboresha huduma za watanzania.
Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi wamekuwa wakifanya hujuma kwa ama kuiba kura au kuhujumu ushindi wa wapinzani.
Sera mbovu za kutengeneza na kutoa ajira kwa vijana, kukuza uchumi/furusa za uchumi na kuzuia ufisadi vyote hivi vinaongeza hasira na jazba miongoni mwa watanzania kuichukia nchi yao.
Kwa utajiri ambao nchi yetu imebarikiwa kama ccm ingekuwa ipo kwa ajili ya watanzania tangu uhuru tungekuwa mbali Sana.
Naichukia sana Tanzania kwasabb ya ccm.