Nimeipenda hii.[emoji116]View attachment 2433812
Maneno ya busara haya, na ni ya kweli tupu.
Hebu angalia hapa akina 'Sunk, Lucas na wenzao, wanavyojaza takataka humu JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hii.[emoji116]View attachment 2433812
tunakushukuru hata kwa kuiandika tuHii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo.
Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za kuboresha huduma za watanzania.
Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi wamekuwa wakifanya hujuma kwa ama kuiba kura au kuhujumu ushindi wa wapinzani.
Sera mbovu za kutengeneza na kutoa ajira kwa vijana, kukuza uchumi/furusa za uchumi na kuzuia ufisadi vyote hivi vinaongeza hasira na jazba miongoni mwa watanzania kuichukia nchi yao.
Kwa utajiri ambao nchi yetu imebarikiwa kama ccm ingekuwa ipo kwa ajili ya watanzania tangu uhuru tungekuwa mbali Sana.
Naichukia sana Tanzania kwasabb ya ccm.
Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo.
Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za kuboresha huduma za watanzania.
Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi wamekuwa wakifanya hujuma kwa ama kuiba kura au kuhujumu ushindi wa wapinzani.
Sera mbovu za kutengeneza na kutoa ajira kwa vijana, kukuza uchumi/furusa za uchumi na kuzuia ufisadi vyote hivi vinaongeza hasira na jazba miongoni mwa watanzania kuichukia nchi yao.
Kwa utajiri ambao nchi yetu imebarikiwa kama ccm ingekuwa ipo kwa ajili ya watanzania tangu uhuru tungekuwa mbali Sana.
Naichukia sana Tanzania kwasabb ya ccm.
Ni kweli CCM janga,lakini hii nchi hakuna wapinzani kuna wachumia tumbo,wapinzani wa kweli watatoka CCM tu ,lakini nje na CCM wapinzani are not yet born
Hata uhuru wa kuangalia taarifa ya habari mtu unakosa!! Ukifikiria kukutana na kusifu na kuabudu? Bora tamthilia nipunguze mawazo
Tuchochee fitina kwa wingi,wataparaganyika tuHao wapinzani wa kweli hawatokagi tu huko ndani ya CCM? Au wanasubiri watoke CCM siku ikiwa nje ya dola? Nchi inazidi kuharibiwa lakini hao wapinzani wa kweli huko ndani ya CCM hawatoki!
Sasa marehemu anakujaje hapo na hayupo kwenye utawala?,utawala ni wa awamu ya nne?,au umekaririshwa?Toka Magufuli aingie madarakani ni nadra sana mimi kuangalia taarifa za habari kwenye redio na TV stations za Tanzania. Yaani ni kinyaa .