Napata shida sana kuipenda nchi yangu kwasababu ya "ujinga" wa wanaccm

tunakushukuru hata kwa kuiandika tu
 
Hunishindi mimi kwenye hiyo chuki dhidi ya hii shithole country.
 
Ni kweli CCM janga,lakini hii nchi hakuna wapinzani kuna wachumia tumbo,wapinzani wa kweli watatoka CCM tu ,lakini nje na CCM wapinzani are not yet born

Hao wapinzani wa kweli hawatokagi tu huko ndani ya CCM? Au wanasubiri watoke CCM siku ikiwa nje ya dola? Nchi inazidi kuharibiwa lakini hao wapinzani wa kweli huko ndani ya CCM hawatoki!
 
Hata uhuru wa kuangalia taarifa ya habari mtu unakosa!! Ukifikiria kukutana na kusifu na kuabudu? Bora tamthilia nipunguze mawazo

Toka Magufuli aingie madarakani ni nadra sana mimi kuangalia taarifa za habari kwenye redio na TV stations za Tanzania. Yaani ni kinyaa .
 
Hao wapinzani wa kweli hawatokagi tu huko ndani ya CCM? Au wanasubiri watoke CCM siku ikiwa nje ya dola? Nchi inazidi kuharibiwa lakini hao wapinzani wa kweli huko ndani ya CCM hawatoki!
Tuchochee fitina kwa wingi,wataparaganyika tu
 
Toka Magufuli aingie madarakani ni nadra sana mimi kuangalia taarifa za habari kwenye redio na TV stations za Tanzania. Yaani ni kinyaa .
Sasa marehemu anakujaje hapo na hayupo kwenye utawala?,utawala ni wa awamu ya nne?,au umekaririshwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…