Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Napata wapi mtu wa kuongea naye?

tamuuuuu chukua namba hii ya Phycologist anaitwa Dr Nkwabi Sabasaba 0717685138 mpigie mweleze yote yanayokusibu atakupa muongozo. Pole sana rafiki yetu Changamoto ndio msingi wa hii Dunia na kinachotukwamisha namna ya kuzikabiri
 
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?

Pole sana, kuna wakati kunahitajika faraja tu hakuna cha ziada.
Karibu.
 
we jamaa uko na shida kisaikologia kama unangalia movie za kikorea acha naona zina haribu watu wengi sana.
take your time kujifunza new skills kusoma vitu tofauti. mfano mm na soma cosmology just for funny,jaribu na ww utafute kitu unacho penda ufanye,

Acha kutumia instagram inaonekana uko rahis kuafectiwa na maisha au mitizamo ya watu wengine.
Nimeshauri huko juu kinachowaharibu wengi ni kuangalia maisha ya wengine mitandaoni hata huyoo Diamond ana stress kibao sema tu ndio hivyo mtandaoni anaonekana ana guud lyf kumbe sio kweli
 
Namshukuru Mungu no matter how hard the situation is, huwa nahakikisha nina mtu wa kumueleza hata kama dunia yangu inataka kugawanyika vipande vidogo vidogo na akanielewa bila kunihukumu, tena wengine tulikutana tu humu humu JF..!!

Ninachotaka kukuambia ni kuwa humu ndani kuna raia wa kila namna ila bado wapo wale watu ambao ni bora kabisa hutojuta kuwafahamu, tafuta kamtu kako kamoja ambako katakuwa nawe, iwe jua iwe mvua..!!

Pole sana sana kwa unayoyapitia, Mungu atakuvusha salama, msihi tu kuwa kamwe asikuache uaibike, haijalishi itakuwa mbaya kiasi gani ila hatokuacha, na kumbuka kamwe Mungu hawezi kukupa jaribu kubwa kuliko ustahimilivu wako, 'DHAHABU huwezi ng'ara mpaka kwanza upite kwenye moto'..!! USIOGOPE..!

[emoji7][emoji7][emoji7]
 
mlale Aaliyyah Manyanza

Nakuombea kheri kwa unayoyapitia. Sijui umesinzia sahivi.. kesho utaamka poa mwaya. tamuuuuu
Yakikuzidia ongea na kioo
Ulikua unakula mkono leo
Una bahati sana
Umekutana na simba aliyejeruhiwa
Mimi namuombea njaa castle anapoteza mechezo 3 mimi nashinda 3 naingia top 4
 
Back
Top Bottom