Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Fuatilia kwa wanasheria watakupa muongozo.Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.
Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.
hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?
Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali?
Jimbo gani hilo mkuu, utupe reference hata moja ya hiyo ndoa ya dada na kaka?Inategemea unaishi nchi gani ama jimbo gani.
Kule Marekani kuna jimbo moja limeruhusu kuoana mtu na dadake wa tumbo moja kwa amri ya mahakama.
Muongozo ni hela! Kama huna hela unakataliwa na kila mtu!Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.
Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.
hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?
Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali?
Bibi na babu zake ni ruksa?Miongozo ya kimila iliyoandikwa sidhani kama ipo. Ila kwenye sheria kifungu cha 158 cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code) kinamkataza mwanaume kumla mjukuu wake, binti yake, mama yake au dada yake. Pia kifungu cha 160 kinamkataza mwanamke kuliwa na mjukuu wake, mwanae, baba yake au kaka yake.
Wengine wote ambao hawajatajwa hapo ni ruksa kukulana nao.
Hausomi ukaelewa, mbona kaeleza kuwa ni kosa?Bibi na babu zake ni ruksa?
Wanaofuata dini ya mwarabu wanafata Mila za ajabu za middle east hasa wahindi na waarabu. Mtoto wa dada yake anaona, mtoto wa mjomba anaona mambo ya ajabu sanaWakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.
Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.
hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?
Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali?