Napata wapi muongozo unaoonesha ni ndugu gani hawaruhusiwi kuoana na ambao wanaweza?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.

Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.

hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?

Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali?
 
Fuatilia kwa wanasheria watakupa muongozo.

Lakini ninavyojua hairuhusiwi ndugu wa damu na wa ukoo kuoana kisheria, kidini na kibaiolojia pia.

Madhara ya kuoana ndugu wa damu kibaiolojia yapo wazi, fuatilia utaelewa.
 
Inategemea unaishi nchi gani ama jimbo gani.
Kule Marekani kuna jimbo moja limeruhusu kuoana mtu na dadake wa tumbo moja kwa amri ya mahakama.
 
Jimbo gani hilo mkuu, utupe reference hata moja ya hiyo ndoa ya dada na kaka?
 
Miongozo ya kimila iliyoandikwa sidhani kama ipo. Ila kwenye sheria kifungu cha 158 cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code) kinamkataza mwanaume kumla mjukuu wake, binti yake, mama yake au dada yake. Pia kifungu cha 160 kinamkataza mwanamke kuliwa na mjukuu wake, mwanae, baba yake au kaka yake.

Wengine wote ambao hawajatajwa hapo ni ruksa kukulana nao.
 
Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.

Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.

hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?

Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali?
Muongozo ni hela! Kama huna hela unakataliwa na kila mtu!
 
Oa yeyote hata dada yako ukiona hakuna kikao cha kimila, endelea na mapigo hadi apate mapacha wasio na visogo kama wapemba
 
Miongozo ya kimila iliyoandikwa sidhani kama ipo. Ila kwenye sheria kifungu cha 158 cha Kanuni ya Adhabu (Penal Code) kinamkataza mwanaume kumla mjukuu wake, binti yake, mama yake au dada yake. Pia kifungu cha 160 kinamkataza mwanamke kuliwa na mjukuu wake, mwanae, baba yake au kaka yake.

Wengine wote ambao hawajatajwa hapo ni ruksa kukulana nao.
Bibi na babu zake ni ruksa?
 
Katoe hiyo mimba mkuu.

Anyway, kwetu sisi ikitokea kwa bahati mbaya umeshare na ndugu yako mpak mkapeana mimba kwa kutokujua. Kuna taratibu za kimila zinafanywa ili kukata undugu huo. Unless otherwise ni kizaa zaa
 
Wakuu sote tunajua kaka na dada hairuhusiwi.

Mtoto wa anko kuna jamii haziruhusu ila wengine wanaruhusu.

hivi kuna muongozo wowote mahali wa ndugu gani unaweza kuoana naye na yupi haurusiwi?

Je ni utashi tu au haya yameandikwa mahali?
Wanaofuata dini ya mwarabu wanafata Mila za ajabu za middle east hasa wahindi na waarabu. Mtoto wa dada yake anaona, mtoto wa mjomba anaona mambo ya ajabu sana
 
Back
Top Bottom