Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
-
- #21
Weka 300k mezani mambo ya barua utasikia kwa jirani
Changamoto inakuja kwenye uthibitisho wa safari Mimi sina haraka sana na passport nataka kuondoka December this YearNimetumia 170 tu ila iyo ela akiweka ndani ya wiki tu kapata kama ana haraka ila kama huna haraka atumie pesa kama yangu ndani ya mwezi kaipata
Nenda pale uhamiaji kurasini kwenye zile stationary watakusaidia ila uwe na ela ya maji usilete ubahili au kama leseni unayo ndio inakua rahisi zaidi kupata tena haifiki hata laki2 gharamaChangamoto inakuja kwenye uthibitisho wa safari Mimi sina haraka sana na passport nataka kuondoka December this Year
Pasiport haikupi uthibitisho wa safari, Vifuatavyo ni vigezo vya wewe kupata Passport hakuna uthibitisho wa safari wa barua ya mwaliko.:-Changamoto inakuja kwenye uthibitisho wa safari Mimi sina haraka sana na passport nataka kuondoka December this Year
we endelea kua mgumu na 150k yako utaipata kwa shida sana,kama uko serious mwaga pesa otherwise utajikuta unatumia pesa na bado hupati kitu.Changamoto inakuja kwenye uthibitisho wa safari Mimi sina haraka sana na passport nataka kuondoka December this Year
Umemwambia atumie pesa, wakati huo huo unamwambia atajikuta anatumia pesa na asipate kituwe endelea kua mgumu na 150k yako utaipata kwa shida sana,kama uko serious mwaga pesa otherwise utajikuta unatumia pesa na bado hupati kitu.
Sijui uko wapi mkuu, ila ungelikua Moshi ni rahisi sana kupata Passport, hautoitumia zaidi ya laki 2 kama Kila kitu Kiko sawa, I mean kama Majina ya vyeti vyako e.g cha kuzaliwa na Cha mzazi na Nida zako hayatofautiani huku huhitaji hizo invitation letter, Mimi niliandikiwa barua ya utambulisho kutoka Kwa mkuu wangu ninakofanyia kazi, aliandika ninaenda Kwa program exchange Kenya basi sikuombwa invitation nyingineHello Fellas
Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae
Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari
Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni
Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
Mbona hicho kigezo walisema hakipo tena siku hizi maana wanataka kila Mtanzania mwenye uwezo wake umiliki passport? Hayo ya kutakiwa barua umeambiwa na nani?Hello Fellas
Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae
Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari
Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni
Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
yeye anabana anahisi kwamba atapitia njia ya haki kwa gharama ndogo matokeo yake atajikuta amespend over 300k+Umemwambia atumie pesa, wakati huo huo unamwambia atajikuta anatumia pesa na asipate kitu
Hatari sanaWatambana ticket ya ndege na ushahidi wa safari,na ticket hawakupi bila passport.
Sawa na ilivyo nje ya nchi kimasomo bila passport hawakupi admission,na uhamiaji upewi passport bila admissions letter.
Mbombo ngafu sawa na kati ya kuku na yai kipi kianze.
Jitangaze kuwa wewe ni 🌈 huko tinder. Utapata mialiko ya kutosha toka ArabuniHello Fellas
Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae
Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari
Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni
Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
Nenda uhamiaji waambie unataka kwenda kutalii -- bank uwe na vijihela kadhaa peleka bank statement, kama huna hela tafuta hata ndugu mwenye uwezo chukua ya kwake awe kama ndo aliyekupa ofa ya kwenda kutaliiHello Fellas
Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae
Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari
Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni
Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
Naam hii ndo njia pekee ya kirahisiWaambie unaenda kama MTALII
Uhamiaji kule wanakupiga mkwala ukienda kizembe, unaulizwa unaenda wapi--- ukisema unataka uwe nayo tu wanakugomeaBarua ya mwaliko sio lazima.
Unatakiwa kuwa na barua ya mtendaji wa mtaa wako unaoishi au barua ya mwajiri wako kama unafanya kazi sekta binafsi au umma, na wala hiyo barua haihitaji kueleza kwamba unasafiri au vp inatakiwa kusema tu kuwa huyu mtu ni fulani na ashughulikiwe ombi lake bhas.
Watanzania tuache uwoga, vitu vingine kuvipata ni rahisi na wala havihitaji gharama yoyote bali ni kutambua na kuwa na taarifa sahihi.
Ni kwenda kujiamini na kuwavimbia, bila kufanya hivyo hutoboi.Uhamiaji kule wanakupiga mkwala ukienda kizembe, unaulizwa unaenda wapi--- ukisema unataka uwe nayo tu wanakugomea
Watumishi wetu wana akili ndogo sana mkuu.Ni kwenda kujiamini na kuwavimbia, bila kufanya hivyo hutoboi.
Mimi nilikwenda na hiyo barua ya mtendaji tu na nilikomaa kuwa nitasafiri wakati ukifika na walinipatia passport before 2 weeks.
Unajiuliza hii nchi watu ni wazima kweli? Iweje kuomba passport mpaka barua ya mwaliko na wakati tuna nchi tunasafiri bila Visa?