Napataje barua ya uthibitisho wa safari? Ili kupata passport?

Yaani serikali ya Tanzania bado inatumia mifumo ya kikoloni miaka 65 baada wakoloni kuondolewa. Passport ni haki ya kila raia. Nchi nyingine zinataka uzibitishe uraia wako baad ya wiki tatu unapata passport yako. Lakini Tanzania eti mpaka upate mwaliko ,kwani mtanzania hawezi kwenda kutarii nje ya Tanzania bila mwaliko? Bora wangekuwa wanauliza unplanned kwnda nchi gani na sio mwaliko. Hii inaonyesha ni njisi gani nchi ikiwa na wabunge wa ovyo serikali inafanya mambo ya kijinga bila woga.
 
Zamani walikuwa wanasingizia wana vitabu vichache
 
Hati ya kusafiria unaipata kama unatunga katiba mpya.

Hata hizo temporary longo longo nyingi.
 
Kwahiyo unashindwa kunyosha shati vizuri unatoa michuzi leo kesho unafata pale mambo ya ndani kufata mkoba wako! Kuwa makini mkoba mpya unanukia pesa tupu! Kila unapopita unaacha harufu ya pesa… Kuna mambo mengi kwenye kuyatafuta maisha kila la kheri…
 
Nipo Dar passport haina kuomba invitation sjui manini, ingia online uhamiaji anza kujaza, ambatanisha utakachoombwa afu anadika barua ya kuomba passport unakwenda kuvisit tu hapo Kenya ama Zambia 🇿🇲 haina shida na hiyo unaandika baada ya kuwa umeshajaza ile form online na kuambatanisha nyaraka zinazohitajika ukienda uhamiaji wilaya nafikiri ndo watakutaka hiyo barua unless labda unataka visa
 
Nchi ina mambo mengi sana hii. Yaani unafikiri unawaomba Visa.
Hata haina mambo mengi, mtoa mada nafikiri ana story za mtaani zinamuogopesha wala hajathubutu kuanza process, akianza ni rahisi sana hata uhamiaji wenyewe akikutana na mtu mzuri mbona anamwelekeza hadi namna ya kuandika barua ya kutembelea nchi jirani kama 🇰🇪 au zambia
 
Anaiandikaje barua ushauri ndugu
Anaandika barua ya kirafiki, mfano mimi bwana fulani nakualika ndugu fulani uje unitembelee nchini mwangu anataja anuani yake kwa muda fulani akiweka na id zake ni poa
 
Hahaha. Passport ingekua tu haki ya mtu.
 
Sikutoa hata 100.
Niliwaambia naenda kufuatilia familia ya kaka yangu Uganda.
Wakanisumbua nikafuate living certificate zangu za secondary school.
Hapo ninacho cheti cha kuzaliwa na vinginevyo.
Nikawaletea wakanipa mkoba wangu.
 
Reactions: Lax
sio lazima uwe na hiyo barua,muhimu ni barua ya utambulisho kutoka kazini kwako,kama ni mfanyabishara barua kutoka kwa chama chako cha biashara inatoasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…