Napataje barua ya uthibitisho wa safari? Ili kupata passport?


Ningepewa nafasi ya kupendekeza; ningesema watanzania wote waliopo vyuo vya juu wanaotaka passport wasaidiwe kuzipata kwa wepesi kama hawana changamoto kwenye kigezo cha uraia.
Kwa Nchi zilizoendelea hata mtoto wa miaka 2 ana passport; nafikiri ipo haja na sisi kuanza kujipanga walau tuanze na ngazi ya chuo.
Kwa hoja yako; nafikiri uchague tu kuwa unategemea kwenda kufanya biashara kwani nahisi ndio sababu ya kwenda nje. kama vigezo vya uraia viko sawasawa unapata
 
Hello,unaweza kunisaidia mawasiliano yake ,kama yupo Dar, passport yangu imezuiliwa,sina barua kutoka kazini,I'm jobless kwa sasa!!?.
Ndio yupo dar ofisi ya mkuu wa mkoa pale uwanja wa taifa
 
Hii nchi bhana, Passport si kila mtu anatakiwa awe nayo
 
Changamoto inakuja kwenye uthibitisho wa safari Mimi sina haraka sana na passport nataka kuondoka December this Year
Jamaa amekuambia Vizuri double hio Hela kutoka 150k unayolipa kwenye mifumo to 300k within a week utakuwa na Pass yako Mkononi
Kazi ya Hela ni Kupunguza Procedures na Kupitia Njia za Shortcut
 
Hii nchi ina ufala sana, yn process za kuomba passport ni kama vile unaomba kuingia mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…