Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Binadamu ana akili sana akipata changamoto huweza kutatua changamoto yake hata kama ni ya milioni 3 lakini cha ajabu mtaji wa laki 5 kwaajili ya biashara atakwambia hana mtajiZamani nlikua nikisoma hii kwamba mtaji sio jambo la kwanza nlikua sielewi afu naona kama jamaa wanatuona sie watoto ๐น sa utaanza biashara bila mtaji.
Siku za karibuni nlienda kutafuta frem mahali mfukoni nna buku tu ya maji hata hela ya dalali sikua nayo....
Naamini mtaji unakuja baadae baada ya kuwa na wazo la biashara na utayari wa kuifanya.
Kipi ni rahisi kukipata kati ya wazo la biashara na mtaji wa biashara?Zamani nlikua nikisoma hii kwamba mtaji sio jambo la kwanza nlikua sielewi afu naona kama jamaa wanatuona sie watoto ๐น sa utaanza biashara bila mtaji.
Siku za karibuni nlienda kutafuta frem mahali mfukoni nna buku tu ya maji hata hela ya dalali sikua nayo....
Naamini mtaji unakuja baadae baada ya kuwa na wazo la biashara na utayari wa kuifanya.
1.5m ulipatajeBiashara ya nafaka.. Halafu Nina mtaji wa 1.5M ,
Ukivunjika Mguu ,ndugu watakupeleka hospitali hata kama hawakuwa na hela, watajichanga ikiwezekana watakopa hela ipatikane.Binadamu ana akili sana akipata changamoto huweza kutatua changamoto yake hata kama ni ya milioni 3 lakini cha ajabu mtaji wa laki 5 kwaajili ya biashara atakwambia hana mtaji
Bongo biashara nyingi haziendelei kutokana na sababu za watu wanafanya biashara kwa sababu mtu fulani anafanya biashara hiyo, na matokeo yake watu wanafeli na kushindwa kuendeleza biashara zao. NA ogopa kuchukua ushauri kwa mtu aliyefeli kwani atakukatisha tamaa. Ndugu zetu wahindi wanaimudu sana kazi ya biashara jaribu kusuhubiana na muhindi ili akupe mambo ya biashara yenye mafanikio.Kumradhi Ndugu yangu.
Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu.
Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara.
Naamini naweza kuwa Maridadi sana kwenye Biashara.
Nahitaji data na mawazo Yako, Ndugu yangu, nahitaji kujua Kutoka kwako, kama Kuna engo ya biashara unauzoefu nayo au Kuna biashara unaielewa vizuri, naomba nishirikishe mawazo Yako.
Mimi nahitaji nipate pakuanzia mawazo yangu, kama nilivyotangulia kusema Sina Msingi mzuri wa mawazo ya biashara.
Nahitaji Msaada wako Ndugu yangu, Rafiki yangu, MwanaJamiiForum Mwenzangu
hivohivo endelea kudunduliza utakuwa milioneaNimedunduliza kidogo kidogo ..
Hadi ikatimia.
Haba na haba hujaza kibaba
Asante Ndugu VumilikaBongo biashara nyingi haziendelei kutokana na sababu za watu wanafanya biashara kwa sababu mtu fulani anafanya biashara hiyo, na matokeo yake watu wanafeli na kushindwa kuendeleza biashara zao. NA ogopa kuchukua ushauri kwa mtu aliyefeli kwani atakukatisha tamaa. Ndugu zetu wahindi wanaimudu sana kazi ya biashara jaribu kusuhubiana na muhindi ili akupe mambo ya biashara yenye mafanikio.
Ukiwa na mpango mzuri wa biashara ndiyo nguzo kuu.Ukivunjika Mguu ,ndugu watakupeleka hospitali hata kama hawakuwa na hela, watajichanga ikiwezekana watakopa hela ipatikane.
Ukiwa na wazo la biashara, ndugu hawana Muda na wewe.
๐๐๐ daahKipi ni rahisi kukipata kati ya wazo la biashara na mtaji wa biashara?
Mtaji jamani mtaji!!!
Wazo la biashara
๐ฅฑ
Mimi kunawazo jipya nimelipata nalifanyia kazi na mtaji sina ila nitafanikwa ndani ya wiki 2๐๐๐ daah
Mie kwakweli wazo la biashara ndo ilikua ishu ila sahivi walau akili inafanya kazi chap yanakuja mawazo mengi tu....
Kuwa na mawazo ya hivi tu tayari ni kuelekea njia ya kufanikiwa.....Mimi kunawazo jipya nimelipata nalifanyia kazi na mtaji sina ila nitafanikwa ndani ya wiki 2
I will start small and grow big, know the customers needs and how to beat competition
Hongera ila zama zile ukadunduliza halafu unaenda benki unaambiwa hela huwezi kutoa muone manaje, maneja anakwambia wapigie hawa hapa duu, baada ya siku chache umekufa, hahaaa, tunaomba tusirudi tena kule, tumshukuru Mungu bado tuna dundazi weginez wamechomokazNimedunduliza kidogo kidogo ..
Hadi ikatimia.
Haba na haba hujaza kibaba
Umeshafeli, utajiri upo kwenye technology, kuanzia kuuza smartphone na accessories zake, computer , printer photocopy machine , na electronic devices zingine, kutengeneza Software / Apps za kutatua challenge za wafanyabiashara, kwa mfano software ya kumonitor mauzo, sales etc. Au unaweza kusupply software ambazo zimeshatenge ezwa na makampuni makubwa kama vile SAP , Oracle , Ulinzi na usalama wa mitandao (CyberSecurity ), Digital Marketing etcBiashara ya nafaka.. Halafu Nina mtaji wa 1.5M ,
Hii mtaji wake upoje kiongoziUmeshafeli, utajiri upo kwenye technology, kuanzia kuuza smartphone na accessories zake, computer , printer photocopy machine , na electronic devices zingine, kutengeneza Software / Apps za kutatua challenge za wafanyabiashara, kwa mfano software ya kumonitor mauzo, sales etc. Au unaweza kusupply software ambazo zimeshatenge ezwa na makampuni makubwa kama vile SAP , Oracle , Ulinzi na usalama wa mitandao (CyberSecurity ), Digital Marketing etc
Mpaka lini mtakalia biashara za kizamani zisizokua na ubunifu wowte?????
Good thinking but you gona meet smart people and herding behavior in politics.Umeshafeli, utajiri upo kwenye technology, kuanzia kuuza smartphone na accessories zake, computer , printer photocopy machine , na electronic devices zingine, kutengeneza Software / Apps za kutatua challenge za wafanyabiashara, kwa mfano software ya kumonitor mauzo, sales etc. Au unaweza kusupply software ambazo zimeshatenge ezwa na makampuni makubwa kama vile SAP , Oracle , Ulinzi na usalama wa mitandao (CyberSecurity ), Digital Marketing etc
Mpaka lini mtakalia biashara za kizamani zisizokua na ubunifu wowte?????
Zama zinapita..Hongera ila zama zile ukadunduliza halafu unaenda benki unaambiwa hela huwezi kutoa muone manaje, maneja anakwambia wapigie hawa hapa duu, baada ya siku chache umekufa, hahaaa, tunaomba tusirudi tena kule, tumshukuru Mungu bado tuna dundazi wrnginez wamechomokaz
Mimi naandika.kitabu cha ujasiriamali fikirishi nilibahatika kupata elimu ya ujasiriamali, 1986-1987, intensively nandika kitabu miaka 35 baada mafunzo na kufanya biasharaZama zinapita..
Natamani sana kwenda na wakati.
Zama hizi hela haitakiwi ikae benki ,.
Siyo sababu ya msingi, yaani wafanya biadhara wote walofanikiwa walienda kwa wahondi?, mbona wahindi hawatuzi kwa akiliBongo biashara nyingi haziendelei kutokana na sababu za watu wanafanya biashara kwa sababu mtu fulani anafanya biashara hiyo, na matokeo yake watu wanafeli na kushindwa kuendeleza biashara zao. NA ogopa kuchukua ushauri kwa mtu aliyefeli kwani atakukatisha tamaa. Ndugu zetu wahindi wanaimudu sana kazi ya biashara jaribu kusuhubiana na muhindi ili akupe mambo ya biashara yenye mafanikio.