Napataje mawazo mazuri ya kuanzisha biashara? Kufikiria mwenyewe haitoshi kunipa wazo sahihi kwa asilimia 100.

Zamani nlikua nikisoma hii kwamba mtaji sio jambo la kwanza nlikua sielewi afu naona kama jamaa wanatuona sie watoto 😹 sa utaanza biashara bila mtaji.

Siku za karibuni nlienda kutafuta frem mahali mfukoni nna buku tu ya maji hata hela ya dalali sikua nayo....

Naamini mtaji unakuja baadae baada ya kuwa na wazo la biashara na utayari wa kuifanya.
Binadamu ana akili sana akipata changamoto huweza kutatua changamoto yake hata kama ni ya milioni 3 lakini cha ajabu mtaji wa laki 5 kwaajili ya biashara atakwambia hana mtaji
 
Kipi ni rahisi kukipata kati ya wazo la biashara na mtaji wa biashara?
Mtaji jamani mtaji!!!
Wazo la biashara
🥱
 
Binadamu ana akili sana akipata changamoto huweza kutatua changamoto yake hata kama ni ya milioni 3 lakini cha ajabu mtaji wa laki 5 kwaajili ya biashara atakwambia hana mtaji
Ukivunjika Mguu ,ndugu watakupeleka hospitali hata kama hawakuwa na hela, watajichanga ikiwezekana watakopa hela ipatikane.
Ukiwa na wazo la biashara, ndugu hawana Muda na wewe.
 
Kumradhi Ndugu yangu.

Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu.

Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara.

Naamini naweza kuwa Maridadi sana kwenye Biashara.

Nahitaji data na mawazo Yako, Ndugu yangu, nahitaji kujua Kutoka kwako, kama Kuna engo ya biashara unauzoefu nayo au Kuna biashara unaielewa vizuri, naomba nishirikishe mawazo Yako.

Mimi nahitaji nipate pakuanzia mawazo yangu, kama nilivyotangulia kusema Sina Msingi mzuri wa mawazo ya biashara.

Nahitaji Msaada wako Ndugu yangu, Rafiki yangu, MwanaJamiiForum Mwenzangu
Bongo biashara nyingi haziendelei kutokana na sababu za watu wanafanya biashara kwa sababu mtu fulani anafanya biashara hiyo, na matokeo yake watu wanafeli na kushindwa kuendeleza biashara zao. NA ogopa kuchukua ushauri kwa mtu aliyefeli kwani atakukatisha tamaa. Ndugu zetu wahindi wanaimudu sana kazi ya biashara jaribu kusuhubiana na muhindi ili akupe mambo ya biashara yenye mafanikio.
 
Asante Ndugu Vumilika
Oni.
Lakini inawezekana pia kumsoma aliyefeli, halafu ukajua sababu iliyomfelisha.
ilimradi utakapoanza biashara usirudie makosa Yale Yale yaliyowafelisha wengine .
 
Ukivunjika Mguu ,ndugu watakupeleka hospitali hata kama hawakuwa na hela, watajichanga ikiwezekana watakopa hela ipatikane.
Ukiwa na wazo la biashara, ndugu hawana Muda na wewe.
Ukiwa na mpango mzuri wa biashara ndiyo nguzo kuu.

Mpango mzurI wa biashara huwa unaweza kukubeba hata kama huna uzoefu wa biashara

Nii rahisi kupata wabia, pia unaweza ukapitisha daftari la mchango, (cloud funding), ila utapata hela ndogo ziko njia nyingi sana sitaki kuzitaja hapa,
reasons best known by myself
 
😁😁😁 daah

Mie kwakweli wazo la biashara ndo ilikua ishu ila sahivi walau akili inafanya kazi chap yanakuja mawazo mengi tu....
Mimi kunawazo jipya nimelipata nalifanyia kazi na mtaji sina ila nitafanikwa ndani ya wiki 2

I will start small and grow big, know the customers needs and how to beat competition

I declare that am an entrepreneur specialist and writing an entrepreneurship book please make uses of me, in reality though may not fully entertain you because am writing a book
 
Mimi kunawazo jipya nimelipata nalifanyia kazi na mtaji sina ila nitafanikwa ndani ya wiki 2

I will start small and grow big, know the customers needs and how to beat competition
Kuwa na mawazo ya hivi tu tayari ni kuelekea njia ya kufanikiwa.....

Ila mtu mwenye "sina mtaji" "nikipata mtaji" " nitatafuta mtaji" 😁😁 atapata tabu
 
Nimedunduliza kidogo kidogo ..
Hadi ikatimia.
Haba na haba hujaza kibaba
Hongera ila zama zile ukadunduliza halafu unaenda benki unaambiwa hela huwezi kutoa muone manaje, maneja anakwambia wapigie hawa hapa duu, baada ya siku chache umekufa, hahaaa, tunaomba tusirudi tena kule, tumshukuru Mungu bado tuna dundazi weginez wamechomokaz
 
Biashara ya nafaka.. Halafu Nina mtaji wa 1.5M ,
Umeshafeli, utajiri upo kwenye technology, kuanzia kuuza smartphone na accessories zake, computer , printer photocopy machine , na electronic devices zingine, kutengeneza Software / Apps za kutatua challenge za wafanyabiashara, kwa mfano software ya kumonitor mauzo, sales etc. Au unaweza kusupply software ambazo zimeshatenge ezwa na makampuni makubwa kama vile SAP , Oracle , Ulinzi na usalama wa mitandao (CyberSecurity ), Digital Marketing etc
Mpaka lini mtakalia biashara za kizamani zisizokua na ubunifu wowte?????
 
Hii mtaji wake upoje kiongozi
 
Good thinking but you gona meet smart people and herding behavior in politics.

I welcome your challenges to cement your ideas
 
Hongera ila zama zile ukadunduliza halafu unaenda benki unaambiwa hela huwezi kutoa muone manaje, maneja anakwambia wapigie hawa hapa duu, baada ya siku chache umekufa, hahaaa, tunaomba tusirudi tena kule, tumshukuru Mungu bado tuna dundazi wrnginez wamechomokaz
Zama zinapita..
Natamani sana kwenda na wakati.
Zama hizi hela haitakiwi ikae benki ,.
 
Zama zinapita..
Natamani sana kwenda na wakati.
Zama hizi hela haitakiwi ikae benki ,.
Mimi naandika.kitabu cha ujasiriamali fikirishi nilibahatika kupata elimu ya ujasiriamali, 1986-1987, intensively nandika kitabu miaka 35 baada mafunzo na kufanya biashara

I am proud of myself, hope will make some changes through my book

Nimesha andika cha kimombo naandika cha kiswahili nitavizundua pamoja, kwenye hicho kitabu wanao sababisha biashara zife nimewaweka kwa mafumbo mtahitaji akili mnemba, vinginevyo nikiwateja kinaweza fungiwa, hahaaa kwa maana Tanzania tuna wapumbavu wengi

Wambuvu ambao hawajui kwanini biashara zinakufa na nini kifanyike
 
Bongo biashara nyingi haziendelei kutokana na sababu za watu wanafanya biashara kwa sababu mtu fulani anafanya biashara hiyo, na matokeo yake watu wanafeli na kushindwa kuendeleza biashara zao. NA ogopa kuchukua ushauri kwa mtu aliyefeli kwani atakukatisha tamaa. Ndugu zetu wahindi wanaimudu sana kazi ya biashara jaribu kusuhubiana na muhindi ili akupe mambo ya biashara yenye mafanikio.
Siyo sababu ya msingi, yaani wafanya biadhara wote walofanikiwa walienda kwa wahondi?, mbona wahindi hawatuzi kwa akili
 
Back
Top Bottom