Umeshafeli, utajiri upo kwenye technology, kuanzia kuuza smartphone na accessories zake, computer , printer photocopy machine , na electronic devices zingine, kutengeneza Software / Apps za kutatua challenge za wafanyabiashara, kwa mfano software ya kumonitor mauzo, sales etc. Au unaweza kusupply software ambazo zimeshatenge ezwa na makampuni makubwa kama vile SAP , Oracle , Ulinzi na usalama wa mitandao (CyberSecurity ), Digital Marketing etc
Mpaka lini mtakalia biashara za kizamani zisizokua na ubunifu wowte?????