Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu. Jaribu kwenda bankSawa maana najua huwezi kupata hati mpaka kiwanja kipimwe
Sikuitaja bank kwa makusudi, kwasababu loans officer walivunja taratibu za mikopo.Sikuwa na hati lakini cash flow na mtiririko wa biashara viliwashawishi wakanipa mzigo.Bank gani mkuu
Siwezi kuuza mkuu biashara yangu inaingiza 1m per month milion tatu ni ndani ya miez mitatu au minne nimeipata sema nahitaji pesa cashFanya maamuzi magumu kama ishu unayotaka kufanya inalipa uza hicho kiwanja fanya mambo yako bila stress
SawaSiwezi kuuza mkuu biashara yangu inaingiza 1m per month milion tatu ni ndani ya miez mitatu au minne nimeipata sema nahitaji pesa cash
Kama ni kiwanja peke ake, usijisumbue kwenda benki hawatakukopesha maana nilazima pawe na nyumba. Ila kwa hawa wanyonya damu wanaweza kukupaNahitaji mkopo wa million 3 nipo na kiwanja 20×20 kipo kigamboni naomba miongozo
Note: isiwe hizi microfinance
Ok....... Bei ya viwanja vya huko bei gani kwa sasa, mfono Cha 20 * 20Jirani alikuwa anauza chake ila kashapata mteja
Nime uliza una rudisha baada ya muda gani?.Kama upo serious nakusikiliza mkuu kama riba yako haiko kubwa tunaenda site ukajiridhishe
Dah.....ila dogo mbona kama nakujua ebu ni pmMimi nilinunua 2.5 milion ilikuwa 2016
Ulikuwa na biashara lakini au sioKila mkopeshaji ana utaratibu wake ndio maana wadau wengi wanakwambia utembelee bank za mikopo.
Binafsi nilikopa bank flani kiwanja hakikupimwa na akikua na hati lakini nilivuta m10.
Kuwa serious kidogo unaleta habari za boss wa feruz mzeeKuna mlevi mmoja anasema dhamana ya kiwanja mara nyingi mkopaji hukitelekeza ila ukuweka dhamana ambayo inashawishi utapata mkopo kutoka hata kwenye account binafsi ya meneja wa bank husika. Imagine mkeo ni pisi kali,umtume kwenda kuulizia taratibu za kibenki.. nakuapia huo mkeka hautachanika.