Oppomall
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 3,683
- 3,966
Hata kama hufanyi chochote ukijua unahujumiwa inaumaKwani huyo unaemsikitiki ana nini cha maana anachokifanya hapo kitini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama hufanyi chochote ukijua unahujumiwa inaumaKwani huyo unaemsikitiki ana nini cha maana anachokifanya hapo kitini?
Job truetrueKaazi kwelikweli...
Huyo ana uwezekano wa kupanda zaidi.Sijui kama mtoto wa namba 4 kama atanusurika.
Wewe huyo ni mwanae wa kumzaa kama huna taarifa!Sijui kama mtoto wa namba 4 kama atanusurika.
Tusubiri tuoneHuyo ana uwezekano wa kupanda zaidi.
Nani kamzaa?Wewe huyo ni mwanae wa kumzaa kama huna taarifa!
Wewe huyo ni mwanae wa kumzaa kama huna taarifa!
Bado unashangaa
Bado unabisha?Wewe huyo ni mwanae wa kumzaa kama huna taarifa!
YametimiaBasi amechelewa kupata taarifa, walio karibu yake bado hawajamsaidia. Mbona hili liko wazi siku nyingi, ili afanikiwe anahitaji kuondokana na watu kadhaa waliopo karibu yake maana hao ni nyoka wenye sumu kali.
Tumeona.
Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu.
Updates: YAMETIMIA
nadhani alikosea sana kuvunja coalition aliyorithi kutoka kwa jiwe; alitakiwa aigeuze ile ndiyo iwe yake badala ya kuivunja hiyo na kubeba timu ya Kikwete ambayo ina uroho na madaraka ya cheo chake hicho hicho.Aisee, wanamdharau sana hadi naona aibu.
Subiri kidogoKiongozi hauna utabiri mwingine..
Tunangojea
Sasa kajivunzanadhani alikosea sana kuvunja coalition aliyorithi kutoka kwa jiwe; alitakiwa aigeuze ile ndiyo iwe yake badala ya kuivunja hiyo na kubeba timu ya Kikwete ambayo ina uroho na madaraka ya cheo chake hicho hicho.
Wanasiasa wana akili mno.kwahiyo kwasababu alijua ataliwa kichwa, anataka watu waamini kwamba ameliwa kwasababu amesema? kama inakuja hivi.