Nape amenusa badiliko la baraza la mawaziri. Ameamua kutumia saikolojia ili tusishangae akienguliwa.

Nape amenusa badiliko la baraza la mawaziri. Ameamua kutumia saikolojia ili tusishangae akienguliwa.

Wewe huyo ni mwanae wa kumzaa kama huna taarifa!
WhatsApp Image 2024-07-18 at 14.29.57.jpeg
 
Basi amechelewa kupata taarifa, walio karibu yake bado hawajamsaidia. Mbona hili liko wazi siku nyingi, ili afanikiwe anahitaji kuondokana na watu kadhaa waliopo karibu yake maana hao ni nyoka wenye sumu kali.
Yametimia
 
Kama angenusa mabadiliko baada ya ile skendo angetoa ule utetezi alafu akajiuzulu uwaziri ..profile yake kisiasa ingekuwa juu sana ... Lakini yeye aliamua kutumia kesi ya siku nyingi ya wazee wa yanga kushinda ile kesi ... Aliweza kuzima ile issue mtandaoni lakini imemkost katika carrier yake ya siasa
 
nadhani alikosea sana kuvunja coalition aliyorithi kutoka kwa jiwe; alitakiwa aigeuze ile ndiyo iwe yake badala ya kuivunja hiyo na kubeba timu ya Kikwete ambayo ina uroho na madaraka ya cheo chake hicho hicho.
Sasa kajivunza
 
Back
Top Bottom