Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #61
Hajajibu tu?Nape Nnauye ya kweli haya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajajibu tu?Nape Nnauye ya kweli haya?
Nappe anapewa kitengo cha "bao la mkono" alafu anarudishiwa uwaziri wake.Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu.
Elimu ya kuungaunga na kujisikia kwiiiingi. Sasa urais wanautaka ilihali kijiti kinashikiliwa bado.
Updates: YAMETIMIA
Sio leo lakini. Atasota sana na apunguze majivuno kujiona wao ndiyo wao.Nappe anapewa kitengo cha "bao la mkono" alafu anarudishiwa uwaziri wake.
Bao la mkono ni 2025/10/ , anarudishwa.Sio leo lakini. Atasota sana na apunguze majivuno kujiona wao ndiyo wao.
Bashiru yupi huyo? Au yule mfuasi wa Jiwe aka Sukuma gang?Wanajua hana uwezo. Mimi Makamba simkubali kabisa lakini mama ni rais mbovu kupata kutokea. CCM wamwengue waweke hata Bashiru
Bado hajajibuHajajibu tu?
Mkuu unadhani asingeivunja tungekuwa wapi kama Taifa. Jiwe aliharibu sana hii nchinadhani alikosea sana kuvunja coalition aliyorithi kutoka kwa jiwe; alitakiwa aigeuze ile ndiyo iwe yake badala ya kuivunja hiyo na kubeba timu ya Kikwete ambayo ina uroho na madaraka ya cheo chake hicho hicho.
Ukishasema jiwe aliharibu nchi basi huwezi kuambiwa ukarlewa mazuri ya utawala wa jiwe. Watu wa jiwe ambao mama alifukuza ni pamoja na Mpina; unamjua?Mkuu unadhani asingeivunja tungekuwa wapi kama Taifa. Jiwe aliharibu sana hii nchi
Coalition ya jiwe ndio ilikuwa haitaki kabisa bibi akamate kijiti, vijana wa Msoga wakapindua meza na bibi akashika kijiti.nadhani alikosea sana kuvunja coalition aliyorithi kutoka kwa jiwe; alitakiwa aigeuze ile ndiyo iwe yake badala ya kuivunja hiyo na kubeba timu ya Kikwete ambayo ina uroho na madaraka ya cheo chake hicho hicho.
Inawezekana kweli wanasiasa wana akili ila siyo Nape huyo ni hanazo hizoWanasiasa wana akili mno.
Ngoja tuoneBao la mkono ni 2025/10/ , anarudishwa.
Wana ngekewa tu basi, vinginevyo!!Inashangaza, mtu hata kuongea kwa mantiki hawezi ila nae anataka cheo kikubwa!