Nape amenusa badiliko la baraza la mawaziri. Ameamua kutumia saikolojia ili tusishangae akienguliwa.

Nape amenusa badiliko la baraza la mawaziri. Ameamua kutumia saikolojia ili tusishangae akienguliwa.

Iko hivi Nape na yule wa Nje wataenguliwa kwa uchu wa madaraka. Wao wanautaka Urais hata leo. Bahati mbaya Bosi amepata taarifa zao zote na wanaoshirikiana nao ktk mchezo huo mchafu.

Elimu ya kuungaunga na kujisikia kwiiiingi. Sasa urais wanautaka ilihali kijiti kinashikiliwa bado.

Updates: YAMETIMIA
Nappe anapewa kitengo cha "bao la mkono" alafu anarudishiwa uwaziri wake.
 
nadhani alikosea sana kuvunja coalition aliyorithi kutoka kwa jiwe; alitakiwa aigeuze ile ndiyo iwe yake badala ya kuivunja hiyo na kubeba timu ya Kikwete ambayo ina uroho na madaraka ya cheo chake hicho hicho.
Mkuu unadhani asingeivunja tungekuwa wapi kama Taifa. Jiwe aliharibu sana hii nchi
 
Mkuu unadhani asingeivunja tungekuwa wapi kama Taifa. Jiwe aliharibu sana hii nchi
Ukishasema jiwe aliharibu nchi basi huwezi kuambiwa ukarlewa mazuri ya utawala wa jiwe. Watu wa jiwe ambao mama alifukuza ni pamoja na Mpina; unamjua?
 
nadhani alikosea sana kuvunja coalition aliyorithi kutoka kwa jiwe; alitakiwa aigeuze ile ndiyo iwe yake badala ya kuivunja hiyo na kubeba timu ya Kikwete ambayo ina uroho na madaraka ya cheo chake hicho hicho.
Coalition ya jiwe ndio ilikuwa haitaki kabisa bibi akamate kijiti, vijana wa Msoga wakapindua meza na bibi akashika kijiti.
 
Mtu mmoja haku justify maovu mengi aliyoyafanya. Anyway tumuache tu maana Mungu alishatuvusha inatosha
 
Back
Top Bottom