Dunia ni sehemu nzuri sana, nimeikumbuka hadithi (kwenye Biblia) ya yule mtu tajiri sana aliyekula na kunywa huku Lazaro akiteseka na kula makombo ya mbwa. Namfananisha na bwana huyu leo. Huyu bwana enzi zile, enzi zake, kuna ambao wanaugulia kwa matendo yake hadi leo. Leo baada ya ulimwengu hule kupita naye anatamani siku zile asingewatesa "akina Lazaro". Anajitahidi kujutia kwani ashauona ulimwengu ambako hakika hapastahili. Katika hari ya hhivi mwanadamu una jukumu moja tu, kutubu kwa uliowahenyesha.
Dunia ni chuo chikuuuuu! Hongera Nape na pole sana kwa kuwahurumia