Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’


Poa mkuu nimekusoma.
 
Joh makini
Niki Wa II
Ney Wa mitego wakae vizuri
Hali si shwari

Ney wa mitego nahisi mpaka sasa yupo mtaani kwa ajili ya hulka yake huyu jamaaa kila anapoendaa asubuhi mpaka usiku huwezi kumkuta mwenyewe maisha yake yotee ana group zaidi ya watu wa nne au 5 anatembea nao na wote wapo vizuri......
 
Watanzania wengi hawana akili kama yako, wengi wanaangalia upande mmoja na ndio wanaitwaga nyumbu!!


mtu yeyote anaweza kufanya uhalifu na akataka ukitokea muwaze aliyefanya ni mwingine
Hapa ni common sense tu usiite watu nyumbu. Clouds ilipovamiwa na video ikarushwa tukaona mbona ushahidi uko wazi tu bado kimya? Nyumbu ni pale mapenzi yanapokupofusha, unaona kama umpendaye hawezi kufanya hilo jambo. Unatizama pembeni kutafuta mchawi, pengine ni huyu,pengine ni yule. Kusema kuna anayetaka kuichafua serikali kwa kuwateka kina Roma na Ben ndo unyumbu wenyewe huo mkuu
 
Nani aliona au alishuhudia mahojiano kabla hawajabebwa?
 
So sad mkuu,, inasemekana jamaa "kapotezwa"
mkuu unapotoa taarifa uwe unatumia akili kidogo... taarifa kama hii ukitafutwa sijui utaeleza nini.. umesikia wapi na utaisaidiaje jamii na ukishindwa kutoa neno utaonekana mchochezi... tuweni makini na kauli zetu jaman zisizo na uhakika..!!!!
 
Kuna ujumbe wa sauti ya Daudi Bashite inazunguka akisema watampata Roma kabla ya Jumapili, sasa sijui ana uhakika gani na hilo, ngoja tusubili.
 
Leta defender/Leta wajeda/
Leta wagambo Roma nimejitoa sadaka/
na mkitaka kuniua hakikisha sifii hapa/
Nichinjeni mkanitupe daraja la Mkapa /


Viva Roma vivaaaa
Vivaaaa roma vivaaaa aa eeeh

Bendera Bendera [emoji445][emoji445][emoji445]
Kwa hiyo alikuwa anaomba kila siku achinjwe na atupwe daraja la mkapa?
 
Uongo unaanzia hapa.... hapo studio walikuwepo watu wangapi? Ni nani alishuhudia hayo mahojiano na wakamuacha na kuchukua wengine? yeye alishuhudia hayo mahojiano?
 
Hali ya tanzania kwa sasa ni ya kuripoti UN security Council, dunia ijue nini kinaendelea Tanzania. Hawajui ndiyo hata jana balozi wa EU alionekana happy with Tanzania which is contrary to EU human rights policy!
Ukitaka uuliwe ndani ya dakika 3, kairipoti Nchi huko

Hakuna kitu wanachoogopa kama kuexpose hayo maovu.
 
Watanzania wengi hawana akili kama yako, wengi wanaangalia upande mmoja na ndio wanaitwaga nyumbu!!


mtu yeyote anaweza kufanya uhalifu na akataka ukitokea muwaze aliyefanya ni mwingine
Ni kweli usemayo. Hasa ukifuatilia yule jamaa aliemgasi Nape kumbe wala sio Polisi. Wale waliomuua Mvungi nao majambazi. Baadhi ya wabongo wanasahau haraka. Kuna yule jaji wa kesi ya mauaji ya kimbari.

Kuna mambo inabidi uwe kichaa ndo uyazungumze.
 
Hali ya tanzania kwa sasa ni ya kuripoti UN security Council, dunia ijue nini kinaendelea Tanzania. Hawajui ndiyo hata jana balozi wa EU alionekana happy with Tanzania which is contrary to EU human rights policy!
Kuna habari gani kuhudu Mr Roma? Kasema nini kafanya nini kibaya labda? Alitishiwa? Je, inawezekana katekwa na mjambazi? Au wenzie wanabugomvu fulani? Kwa nini tushuke polisi?
 
Ingekuwa ni mimi wale wote walioimba eti wana imani na mtu fulani wote NINGEWAPOTEZA![emoji24][emoji24][emoji33]
 
acheni siasa, jeshi la poliss limeshasema inamtafuta Roma
 
kiongozi flani ana panya road wake naisi atakuwa anahusika...aliingia nao kituo cha redio,akawatuma kwa napi nasasa itakuwa kazama nao tongwe!! Hatarii sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…