Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
pengine alijitabilia,tutajuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wengi hawana akili kama yako, wengi wanaangalia upande mmoja na ndio wanaitwaga nyumbu!!
mtu yeyote anaweza kufanya uhalifu na akataka ukitokea muwaze aliyefanya ni mwingine
Umeunganisha tukio lipi na lipi hadi ukafikia hiyo conclusion?! Na kama kuna watu wanao-pose kama walinzi halali ili kuichafua serikali bila shaka kama ilivyokuwa kwa Nape; kwanini hawakamatwi?!hii ni conspiracy au vipi? Lazima kuna watu watakuwa wana-pose kama walinzi halali ili kufanya uhalifu au kuharibu reputation ya wabaya wao.
Sasa cha ajabu ni nini alishajitabilia.Leta defender/Leta wajeda/
Leta wagambo Roma nimejitoa sadaka/
na mkitaka kuniua hakikisha sifii hapa/
Nichinjeni mkanitupe daraja la Mkapa /
Viva Roma vivaaaa
Vivaaaa roma vivaaaa aa eeeh
Bendera Bendera [emoji445][emoji445][emoji445]
sio polisiJeshi la Polisi Limejaa Wahuni Watupu Limekuwa Kama "Kiboko Msheli" au "Komando Yosso"
hawa ni wale walitaka kumpiga risasi napeUmeunganisha tukio lipi na lipi hadi ukafikia hiyo conclusion?! Na kama kuna watu wanao-pose kama walinzi halali ili kuichafua serikali bila shaka kama ilivyokuwa kwa Nape; kwanini hawakamatwi?!
Dah, pole Sana Mkuu, Inshort hakuna Msanii alikua anaomba nyimbo kosovu kama yeye, hata 2015 Dr Slaa alipojitoa UKAWA alimuimba, hebu fuatilia nyimbo zake Youtube.. Utamuelewa..Sijawahi kufuatilia kabisa kazi zake, baada ya tatizo hili ndo nahangaika kumfahamu huyu ndugu yetu aisee. Jina sio geni ila kazi zake ndo hivyo
ben yuko wapi?Ni mapema sana kufahamu nani yuko juu ya upoteaji wa wanamuziki.
Isije ikawa ni mjama ya kundi fulani kutafuta
msaada wa kupaza sauti kupitia sanaa au kundi lingine kutumia mwanya huo kufutilia mbali kile kinachoitwa muziki wa uhanarakati.
Lakini pia wasanii/msanii mwenyewe anaweza kujiteka/kujificha ili tu aurejeshe umaarufu wake
uliopotea ili atakapotoa wimbo apate atension/kiki.
Ni vyema tukavuta subra na kuchunga mdimi zetu
kwani lolote lawezekana.
Sa kama ni mtu yeyote then si ndo kazi ya maaskari sa kufatilizia? Umesikia kuna askari wamelizungumzia? Kwn nani anatakiwa awe responsible kwa ulinzi wetu?Watanzania wengi hawana akili kama yako, wengi wanaangalia upande mmoja na ndio wanaitwaga nyumbu!!
mtu yeyote anaweza kufanya uhalifu na akataka ukitokea muwaze aliyefanya ni mwingine
Unawaonea waTZ bure, records za watekaji ni jeshi la polisi na usalama sasa tukio linapotokea suspects wa kwanza unafikiri atatoka wapi.
Records za Bashite na Bwanaake za hivi karibuni moja kwa moja zinawaweka kama suspects no.1 hawataki kukosolewa na waliochini yao wanajipendekeza kuwafurahisha.
Bashite akivamia mnasema yeye ndio mwenyekiti wa ulinzi na usalama, usalama ukitoweka hamtaki aulizwe yeye, nyie michezo yenu ni ajabu sana.
sio polisi
Sijui.ben yuko wapi?
Sa kama ni mtu yeyote then si ndo kazi ya maaskari sa kufatilizia? Umesikia kuna askari wamelizungumzia? Kwn nani anatakiwa awe responsible kwa ulinzi wetu?
Yaani kuna watu wanaboa sana kiasi kwamba inatuwea taabu kuepuka bans humu jamvini!!hawa ni wale walitaka kumpiga risasi nape