Ukitembea na mwanafunzi jela miaka 30 hata kama hukumlazimisha.Aliwalazimisha?
Si walilala Wenyewe Ili wakanyagwe?“Kumkanyaga mwanamke mmoja mgongoni ni sawa na kuwakanyaga wanawake wote akiwemo Mama Samia”. By Quinine JF.
Ukitembea na mwanafunzi jela miaka 30 hata kama hukumlazimisha.
Waliolala ni wajinga ila aliyekubali kuwakanyaga ni mpumbavu.Si walilala Wenyewe Ili wakanyagwe?
Age of majority ni kitu gani, Wewe ni mpumbavuHauna akili, mwanafunzi hana age of majority, anachukuliwa kama mtoto, hiyo Mi Mama imejilaza kwa hiyari, inajielewa.
Wewe ni mpumbavu
Mila za Wamakonde hizo!Waliolala ni wajinga ila aliyekubali kuwakanyaga ni mpumbavu.
Unaweza kumkanyaga mama yako mgongoni hata kama kalala mwenyewe kama sio u pumbavu ni nini.Ha ha!
Halafu alifanya wakati wa ushindi wa ubunge mwaka 2015..imagine mtu anakuja Leo kushinikiza Samia amtoe uwaziri...imagine thatVipi kama kitendo hicho ni mila yao?
Upumbavu wakati ni utamaduniSikubaliani na Nape kwa vingi ila kama mijitu mizima na akili zao timamu imejilaza chini kwa utashi wao wenyewe ili ikanyagwe hapo kwanini alaumiwe Nape?
Wapumbavu ni hao mashangazi yaliyokosa kazi na kwenda kujilaza chini ili ikanyagwe na mpuuzi mmoja kwa jina la mila.
Nyie UVCCM msitutoe kwenye reli kuhusu hoja za bandari. Mwacheni aliyekanyagwa mgongoni ndio akalalamike sio nyie hapo Lumumba. Sasa hivi tumestick kwenye hoja za mkataba wa kijambazi wa bandari zetu. Ni spana baada ya spana mpaka muite maji mma. Mmejimilikisha rasilimali za nchi utafikiri ni mali za familia zenu.Nyambafu!!!Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako mtu ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet!
Itashangaza mno kama wewe mheshimiwa rais utamwacha Nape kuwa waziri baada ya kitendo chake chenye udhalilishaji mkubwa wa heshima ya wanawake, hasa ikizingatiwa kuwa wewe kama mwanamke ndio kiongozi mkuu wa nchi. Tafadhali chukua hatua stahiki, hii ni kashfa kubwa mno kwa mtu anayetakiwa kuwa kioo cha jamii, hafai kuwa katika baraza la mawaziri.
View attachment 2694151