Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaulize CCM, si ndo wamejaa Bungeni na mihimili yote ya Serikali?Turudi kwenye hoja
Matumizi ya mkopo trillion 20 yako wapi
kama alikuwa mumeo sawaHuwezi kuuliza swali la namna hii,lazima tumuenzi sana Bwana yuuuleee.
"Tembeeni vifua mberee, Tanzania ni dona kantri"Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema Deni la Taifa limefikia Tsh. Trilioni 64, ambapo awamu ya tano ilikopa Dola Bilioni 9 (takribani Tsh. Trilioni 20) bila kuwa na uwazi
-
Ametaka Deni la Taifa kuchunguzwa na miradi iliyofanywa kwa mikopo katika Serikali ya Awamu ya Tano iangaliwe kama inaendana
-
Aidha, Nape ameshauri uwazi uliopo kwenye Tsh. Trilioni 1.3 za IMF alizokopa Rais Samia uendelee kwa fedha nyingine
-
Upige chafya upigwe risasi .ungepiga wewe kwanzaccm mnang'atana wenyew kwa wenyew......kipindi cha uhai wa mzee mlikua mnaogopa hata kupiga chafya mbele wake.........huo ndo tunaita unafiki
Nape ashukuru hata kwa huo ubunge alionao. Chuma Magufuli angeweza kumfukuza hata uanachama au kumteua mtu mwingine agombee hukk jimboni kwake. Ashukuru anao hatahuo ubunge kwani kwa u_snitch aliomfanyia Rais wa nchi angeweza hata kupotezwa.Wachunguzeni wote Wanaolalamika KWA Sasa baada ya mwendazake kuondoka alafu rudini KWA historia zao za nyuma,mtapata picha halisi kwann wanalalamika sasa.
Hata mbowe achunguzwe, zile posho na mishahara ya wabunge aliyokua anakata tujue imeenda wapi, maana hata ofisi hatuna.Pamoja na kwamba Nape ni mnafiki, lakini kasema ukweli kuwa dhalimu alikuwa anakopa kiboya ili kusaka sifa za kijinga. Uchunguzi ufanyike ili ifahamike dhalimu alipeleka wapi hela na genge lake la sukuma gang.
Serikali ya Mama Samia imekooa Trilion 1 tu toka iingie madarakani? Aaangalie vizuriMbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema Deni la Taifa limefikia Tsh. Trilioni 64, ambapo awamu ya tano ilikopa Dola Bilioni 9 (takribani Tsh. Trilioni 20) bila kuwa na uwazi
-
Ametaka Deni la Taifa kuchunguzwa na miradi iliyofanywa kwa mikopo katika Serikali ya Awamu ya Tano iangaliwe kama inaendana
-
Aidha, Nape ameshauri uwazi uliopo kwenye Tsh. Trilioni 1.3 za IMF alizokopa Rais Samia uendelee kwa fedha nyingine
-
Ni Muhimu ila ichunguzwe mikopo ya awamu zote, sio ya JPM tu then tupewe mbivu na mbichi.Jana muheshimiwa nape kashika vichwa vingi mitandaoni baada ya kuonyesha ukopaji wa madeni awamu zote ila kilicholeta hamasa zaidi ni kuwa alijikita na awamu ya tano,je hoja za nape zinamashiko ama ni kutafuta attention ya kisiasa
Hata mbowe achunguzwe zile posho na mishahara ya wabunge aliyokua anakata tujue pesa zilifanya nini maana hata ofisi hatuna.Wazee wa Legasi tunawaomba msogee
Alimuomba msamaha kwa kosa gani??! Ulitaka asiombe msamaha halafu apotezwe na bwana yule,Anajidai kun'gata kule na kupuliza huku wakati CCM ni hiyo hiyo na yeye akiwa miongoni mwao, namuona anaropoka tu, kumsifia Samia sasa hivi wakati alimuomba msamaha Magufuli nae akaanza kumsifia badala ya kubaki na msimamo wake ni upuuzi tu.