RWEZAURAJOHN
Member
- Jul 5, 2011
- 24
- 27
BAADA YA MUDA MCHACHE, UTAPEWA UWAZIRI. KAZANA TU MBUNGE.Tanzania ya sasa hakuna kiongozi yeyote mwenye uthubutu wa kuwachia ngazi maana wote wanapigania matumbo yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAADA YA MUDA MCHACHE, UTAPEWA UWAZIRI. KAZANA TU MBUNGE.Tanzania ya sasa hakuna kiongozi yeyote mwenye uthubutu wa kuwachia ngazi maana wote wanapigania matumbo yao.
Siyo uchonganishi ,ukichunguza madeni ya nyuma lazima umuhoji Dr Mpango
Usilolijua ni sawa na usiku wa gizaBAADA YA MUDA MCHACHE, UTAPEWA UWAZIRI. KAZANA TU MBUNGE.
Katika watu nawakubali hapa jf ni wewe mkuu!Nape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao ili apate teuzi.
Na msilete zile sababu za kukariri kwamba wasingeweza kumzuia Magufuli kwasababu alikuwa katili, kama waliona tatizo lipo na halifanyiwi kazi wote wangetakiwa kujiuzulu ili kuonesha kutokubaliana nae, lakini kukaa kwao kimya maana yake walimuunga mkono.
Anyway, nimemkumbuka Nape siku ile aliyoenda pale ikulu baada ya kuomba msamaha, alipopiga picha na Magufuli akiwa ameweka mikono yake karibu na paji la uso kama vile anamsujudia mwanadamu yule anayemuita leo mwizi.
Too theoretical kuliko mazingira halisi. Nani alikuwa na ubavu wa kufanya unayoyasema!Nape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao ili apate teuzi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dhalimu wako bado anakuchapa hata baada ya kufa!Pamoja na kwamba Nape ni mnafiki, lakini kasema ukweli kuwa dhalimu alikuwa anakopa kiboya ili kusaka sifa za kijinga. Uchunguzi ufanyike ili ifahamike dhalimu alipeleka wapi hela na genge lake la sukuma gang.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu uko unakula vumbi na ukoo wako hakuna wa kumfikia bashiru pale alipo ila chaa jabu eti unamhurumiaMasikini Bashiru reeooo yupo hoiiiiii
Nape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao ili apate teuzi...
Haswaaaah!!!Kumekucha
Ndiye.Huyu si ndiye alienda kuomba radhi?
CCM kuchunguza CCM. Waziri wa Fedha aliyekopa ndio Makamu wa Rais. Muendelezo wa Zee Commedy za CCMMbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri...
Mwendazake alisikika akisema tunatekeleza miradi kwa fedha zetu za ndani kisha akaondoka zake.
Pesa iliyokopwa ilitumikaje jibuni maswaliNape ni mnafiq mkubwa, hana msimamo, anachofanya ni ubinafsi wa kupambania tumbo lake tu.
Ilitumika kununulia wapinzani uchwaraMwendazake katuacha kwenye mataa
Pesa iliyokopwa ilitumikaje jibuni maswali
Turudi kwenye hojaNape naye kenge tu. Lilipokuwa liwaziri nalo lilikua jizi, nafiki na punguani. Eti Leo linahoji kwa nini lilikunya kwenye uji. Leo eti kasahau kama alizima Bunge live na kujiona msafiiii....
CCM yote wezi tu, Sema wanatofautiana style.
Siasa ni upuuzi upuuzi tu.
nape muongo, mbona tuliambiwa ndege zinanunuliwa kwa cash na ni kweli, pia akiba ya taifa benki kuu inaweza kulilisha taifa kwa miezi 6 bila kuyumba, na tuliambiwa sisi ni matajiri tutembee kifua mbele, sasa tena ?Mbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri