mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,855
Legacy ipi mkuu?Lakini mkuu mambo mengine tufumbe fumbe kulinda legacy mkuu[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Legacy ipi mkuu?Lakini mkuu mambo mengine tufumbe fumbe kulinda legacy mkuu[emoji23][emoji23]
Jiwe walikuwa madacular wanywa damu kha kumbeBora alijikalia kimya kuliko angesema Jiwe na genge lake wakamnywa damu, bora nini?
Uchunguzi ufanyike TU tuliaminishwa Kila kitu kufanywa Kwa fedha za ndaniNape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao ili apate teuzi.
Na msilete zile sababu za kukariri kwamba wasingeweza kumzuia Magufuli kwasababu alikuwa katili, kama waliona tatizo lipo na halifanyiwi kazi wote wangetakiwa kujiuzulu ili kuonesha kutokubaliana nae, lakini kukaa kwao kimya maana yake walimuunga mkono.
Anyway, nimemkumbuka Nape siku ile aliyoenda pale ikulu baada ya kuomba msamaha, alipopiga picha na Magufuli akiwa ameweka mikono yake karibu na paji la uso kama vile anamsujudia mwanadamu yule anayemuita leo mwizi.
Tuambie alipeleka wapi pesa? Hiyo report ya pccb iweke hapa meku.
Kwani wewe ndiye uliyekopa.Zilikopwa likajengwa Listiggler pale watu wapate umeme nafuu.... zilikopwa ijengwe SGR chap...Zilikopwa Bandari ya Dar iongezewe uwezo kwa maana ya no of berth, zilikopwa daraja la busisi lijengwe, zilikopwa meli ziwa victoria na vivuko nchi nzima viwe kazini..
Zilikopwa kujenga stand za kisasa nchi nzima, zilikopwa kujenga masoko ya kisasa nchi nzima.
Mkopaji alikopa ili miundombinu ya umeme iwe madhubuti...Mkopaji alikopa kufufua shirika la ndege na usafiri wa reli nchi nzima..
Mkopaji akasimamia mwenyewe alichokopa ili kinachokusudiwa kipatikane... Uzuri zaidi mkopaji alifocus kuspeed up uzarishaji..Uzuri wake hata mtoto mdogo anaona tafsiri sahihi ya mkopaji ni nini alichokusudia kwa Tanzania..
Mkopaji alidhamiria kuondoa kelele za umeme wa dharula kila siku na makesi yanayonufaisha Pumbavu kila kukicha, mkopaji alidhamiria tupate umeme nafuu na uwe mwingi kiasi cha kuuza nje...mkopaji alikuwa na dhamira ya kukopa leo lakini tusikope tena kesho kwa kuwekeza kwenye maeneo ambayo yatatufanya tuwe strong na strong huko mbeleni...
Bila ushabiki, mkopaji wa awamu ya tano alikuwa anajua nini anafanya inawezekana kuliko wakopaji woote huko nyuma...Pumbavu hazitaki nchi ijitegemee na tuache kuwa ombaomba ili Pumbavu na waume zao waendelee kutunyonya leo kesho, vizazi na vizazi... vibaraka na wengine wafuata upepo hawajui wanashabikia Cartel za wahuni ambazo dhumuni kuu ni kuwanyonya ndugu zao na nchi..
Nape Aache chuki na unafkiMbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri
Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya 5 ilikopa mikopo mingi huku asilimia 40 ya mikopo hiyo ikiwa ni ya kibiashara hivyo kuwa na riba kubwa
Ameongeza kwa kutaka uchunguzi ufanyike juu ya mikopo hiyo na ilinganishwe na thamani ya miradi ambayo mikopo hiyo ilifanya
Ameipongeza Serikali ya awamu ya 5 kwa kuweka wazi mkopo wa 1.3 trilioni iliyokopa kitu ambacho hakikuwepo kipindi kilichopita na kutaka uwazi huu uigwe
Tena alienda mikono Kama kapigwa pinguNdivyo inavyotakiwa. Hata humu tulimchana Magufuli akiwa hai. Huyo Nape hadi ikulu kwenda kuomba msamaha alikwenda.
Kwa kuwa AMEKUFAMbunge wa MTAMA Nape Nnauye amesema deni la Taifa limekuwa kwa kasi sana ndani ya miaka 5 iliyopita na kusema japo Serikali inadai ni himilivu hali sio nzuri
Nape ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya 5 ilikopa mikopo mingi huku asilimia 40 ya mikopo hiyo ikiwa ni ya kibiashara hivyo kuwa na riba kubwa
Ameongeza kwa kutaka uchunguzi ufanyike juu ya mikopo hiyo na ilinganishwe na thamani ya miradi ambayo mikopo hiyo ilifanya
Ameipongeza Serikali ya awamu ya 5 kwa kuweka wazi mkopo wa 1.3 trilioni iliyokopa kitu ambacho hakikuwepo kipindi kilichopita na kutaka uwazi huu uigwe
Nape alichoka sana kutoka geti la ikulu mpaka kumfuata alipo JPMNape asisahau waliokuwa viongozi waandamizi wa hiyo serikali anayoilaumu ndio hawa waliopo kwenye serikali mpya anayojipendekeza kwao ili apate teuzi.
Na msilete zile sababu za kukariri kwamba wasingeweza kumzuia Magufuli kwasababu alikuwa katili, kama waliona tatizo lipo na halifanyiwi kazi wote wangetakiwa kujiuzulu ili kuonesha kutokubaliana nae, lakini kukaa kwao kimya maana yake walimuunga mkono.
Anyway, nimemkumbuka Nape siku ile aliyoenda pale ikulu baada ya kuomba msamaha, alipopiga picha na Magufuli akiwa ameweka mikono yake karibu na paji la uso kama vile anamsujudia mwanadamu yule anayemuita leo mwizi.
Huyo kasemea Bungeni kwa sababu ana Kinga. Hoja hiyo hawezi kuiongelea nje ya Bunge. Angeitisha Press Conference halafu akaongea hiyo hoja hapo ningemuona wa maana. Kinachoendelea Bungeni ni Maigizo tu ili kuwahadaa Watz kwamba Wapinzani sio muhimu hata Wabunge wa CCM wanaweza kuikosoa Serikali.Hii ndio CCM Ina democrasia ndani yake sio Ile saccos ya chadema mwenyekiti alikuwa anawakata mishahara na posho wabunge wa wake na ni marufuku kuhoji na mpaka sasa hazijulikani zilienda wapi hizo pesa
Zilikopwa likajengwa Listiggler pale watu wapate umeme nafuu.... zilikopwa ijengwe SGR chap...Zilikopwa Bandari ya Dar iongezewe uwezo kwa maana ya no of berth, zilikopwa daraja la busisi lijengwe, zilikopwa meli ziwa victoria na vivuko nchi nzima viwe kazini..
Zilikopwa kujenga stand za kisasa nchi nzima, zilikopwa kujenga masoko ya kisasa nchi nzima.
Mkopaji alikopa ili miundombinu ya umeme iwe madhubuti...Mkopaji alikopa kufufua shirika la ndege na usafiri wa reli nchi nzima..
Mkopaji akasimamia mwenyewe alichokopa ili kinachokusudiwa kipatikane... Uzuri zaidi mkopaji alifocus kuspeed up uzarishaji..Uzuri wake hata mtoto mdogo anaona tafsiri sahihi ya mkopaji ni nini alichokusudia kwa Tanzania..
Mkopaji alidhamiria kuondoa kelele za umeme wa dharula kila siku na makesi yanayonufaisha Pumbavu kila kukicha, mkopaji alidhamiria tupate umeme nafuu na uwe mwingi kiasi cha kuuza nje...mkopaji alikuwa na dhamira ya kukopa leo lakini tusikope tena kesho kwa kuwekeza kwenye maeneo ambayo yatatufanya tuwe strong na strong huko mbeleni...
Bila ushabiki, mkopaji wa awamu ya tano alikuwa anajua nini anafanya inawezekana kuliko wakopaji woote huko nyuma...Pumbavu hazitaki nchi ijitegemee na tuache kuwa ombaomba ili Pumbavu na waume zao waendelee kutunyonya leo kesho, vizazi na vizazi... vibaraka na wengine wafuata upepo hawajui wanashabikia Cartel za wahuni ambazo dhumuni kuu ni kuwanyonya ndugu zao na nchi..
Kipindi cha yule kiongozi muovu aliongea ukweli akatolewa bastola hadharani. Sasa acha aseme ukweli akiwa yuko kuzimu maana hakutaka ukweli usemwe akiwa hai.Ya Kikwete ilikopa ngapi ?Sasa mnamuonea Magufuli kwa vile hawezi kusema tena.Wewe Nape unajiona msafi wakati ni fisadi tu.Hivi Magufuli angekuwa ni Rais mstaafu na yupo hai ungetoa hayo maoni ?.Akiwa hai nyote mlimuogopa kama Ukoma. Akiwa kafa muogopeni hivyo hivyo.Idiots.