Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

 
kwa Nini nape hawatetei wananchi?

Msukuma ana akili
 
Yule mwengine alisema twende burundi huyu anasema tutumie hela badala ya vifurushi sasa unafuu uwapi? Kama vifurushi vinatushinda ndio tutaweza hilo salio?
Sema tu twende burundiiiiiiii
 
Walamba asali mnateteana.

Yani mtu anunua bando la GB 1 apate mb800 na wewe unatetea uozo huo?
 
Kumbukumbu zangu zinanambia hii ni mara ya pili namsikia huyu Waziri akitetea kampuni za simu, sijui ni kwanini hata...

Napalepe Nnauye- (pachelewe wee lakini ni lazima atarudi)
 
Alieshiba hamkumbuki mwenye njaa.
 
Anatufokea siyo?
 

MTAMA DEVELOPMENT FUND[emoji23]....natumaini umenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…