Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

Nape yuko sahihi katika hili japo ni kweli lina maumivu kwa watumiaji wa bando. Lakini ni maumivu yasiyo na uhalisia. Bando ni mfumo wa promotion katika biashara, sasa vipi promotion uiwekee sheria au umlazimishe mtoa promotion au offer iwe endelevu au ya kudumu? Tuwe objective wakati mwingine.
Basi wazifute hizo offer zao, wasitunyanyase mbwa hawa.
 
Rushwa ni mbaya sana, Waziri amekuwa mtetezi wa makampuni ya kutoa huduma badala ya wananchi. Mbichwa mkubwa empty kabisa huyu
 
Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.

Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi ukadai hata ukitumia mara moja.

Nape amesema hofu yake ni kutumia Bunge kushutumu uwekezaji mkubwa kuna wizi inakwenda kuharibu huduma ya mawasiliano.

Spika Tulia akifafanua swali la mbunge, alimtaka Nape aeleze kama ni sheria au utaratibu na kama Bunge linao uwezo wa kubadilisha au haliwezekani.

Nape amesema ni utaratibu wa kibiashara ndio maana bei yake ni ndogo kulinganisha na kutumia salio na sio suala la sheria.

====

Akitoa hoja, mbunge Franscis Mtinga ametaka bando ziwe kisheria na Nape kama ambavyo alileta muswada wa kulinda habari binafsi, alete muswada wa kulinda haki kwani mashirika ya simu yanaibia wananchi sana. Mbunge ametaka kutopangiwa jinsi ya kutumia bando alilonunua.

Huku TiGO/ZANTEL kule Taifa Gesi, nchi hii sasa ni rasmi wapo watu na viatu. Utetezi wa viongozi hutegemea uwepo wa vitu hivi viwili, lakini ni lazima maslahi yawe ya kibiashara zaidi. Kundi la wanamtandao lipo upya kikazi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.

Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi ukadai hata ukitumia mara moja.

Nape amesema hofu yake ni kutumia Bunge kushutumu uwekezaji mkubwa kuna wizi inakwenda kuharibu huduma ya mawasiliano.

Spika Tulia akifafanua swali la mbunge, alimtaka Nape aeleze kama ni sheria au utaratibu na kama Bunge linao uwezo wa kubadilisha au haliwezekani.

Nape amesema ni utaratibu wa kibiashara ndio maana bei yake ni ndogo kulinganisha na kutumia salio na sio suala la sheria.

====

Akitoa hoja, mbunge Franscis Mtinga ametaka bando ziwe kisheria na Nape kama ambavyo alileta muswada wa kulinda habari binafsi, alete muswada wa kulinda haki kwani mashirika ya simu yanaibia wananchi sana. Mbunge ametaka kutopangiwa jinsi ya kutumia bando alilonunua.

Anyway. Lakini mbona basi hilo bundle halina uhalisia? Mbona wanakuuzia sms 300 ukituma 8 wanakuambia umekaribia kikomo zikifika 10 zimeisha still uko ndani ya muda?

Hivi ni kweli kwamba hizi dakika za makampuni ya simu wanazotuuzia kwenye muda wa maongezi Ndio dakika zinazotumika huku Duniani kwenye kuhesabu muda? Naomba tupate majibu Nitakuja na evidence za Airtel
 
Nape anapaswa kuwa upande wa wananchi .

Kwanini anawasemea waendesha makampuni ya mawasiliano? Sisi tunalalamika kwamba huduma za internet zimekuwa ju Sana, hata vile vifulushi tulivyo kuwa tunatumia awali kwa bei inayo endana na uchumi wa wananchi wengi vimebadilishwa na kuwa ghari.

Sasa iweje awajibie hao anawao waita wawekezaji? Ndiyo kusema wamepandishiwa gharama za uendeshaji karibu marambili kama walivyo ongeza gharama hizo kwa wananchi?
Sasa hivi 1000 ni mb 300 imagine...

Wakati mwaka mmoja uliopita 1000 ilikuwa GB moja...

#mimi lazima nikimbie hii nchi
 
Nape yuko sahihi katika hili japo ni kweli lina maumivu kwa watumiaji wa bando. Lakini ni maumivu yasiyo na uhalisia. Bando ni mfumo wa promotion katika biashara, sasa vipi promotion uiwekee sheria au umlazimishe mtoa promotion au offer iwe endelevu au ya kudumu? Tuwe objective wakati mwingine.
Kwa hiyo promotion ndiyo inahalalisha udanganyifu wa biashara? Kuwa objective Mkuu.
 
Mimi huwa najiuliza vitu nakosa majibu. Hivi kuna mtu anaelalamika bando la wiki sijui mwezi, au huko juu huwa mnaenda kuwaambia sisi tunalalamika nini?

Tatizo lilipo ni kwamba, unaamka kila siku kifurushi bei iko juu imepanda ghafla, unakuta ulikua unanunua kifurushi cha 15,000 gb 8.3 ghafla wanakupa gb 7 sasa unajiuliza mbona hawatoi taarifa kwamba vifurushi vitapanda,

Najua humu kuna makampuni ya simu kwani mnadhani hatujui kwamba mnapokea barua kutoka kwenye mamlaka ila wao hawatangazi public. Kwanini viongozi wetu mnakamua wananchi then mnakuja public kuropoka? Bei za vifurushi zinapanda kiholela sana.
Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.

Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi ukadai hata ukitumia mara moja.

Nape amesema hofu yake ni kutumia Bunge kushutumu uwekezaji mkubwa kuna wizi inakwenda kuharibu huduma ya mawasiliano.

Spika Tulia akifafanua swali la mbunge, alimtaka Nape aeleze kama ni sheria au utaratibu na kama Bunge linao uwezo wa kubadilisha au haliwezekani.

Nape amesema ni utaratibu wa kibiashara ndio maana bei yake ni ndogo kulinganisha na kutumia salio na sio suala la sheria.

====

Akitoa hoja, mbunge Franscis Mtinga ametaka bando ziwe kisheria na Nape kama ambavyo alileta muswada wa kulinda habari binafsi, alete muswada wa kulinda haki kwani mashirika ya simu yanaibia wananchi sana. Mbunge ametaka kutopangiwa jinsi ya kutumia bando alilonunua.

Wengi wenu hamkuwa mmezaliwa kipindi hatuna kitu kinaitwa bundle au kifurushi
 
Vijana wanashindana kukusanya pesa za campaign 2025;
1. January anakamua kwenye miradi ya umeme na Gas
2. Madilu anakusanya kwenye kusamehe kodi.
3. Nape yeye kwenye kugandamiza wananchi kwenye bundles

Kwa kifupi wananchi hatuna hela za kuwahonga, thamani yetu ipo kwenye box la kura!!

Tukutane 2025!!
CCM oyeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom