Basi wazifute hizo offer zao, wasitunyanyase mbwa hawa.Nape yuko sahihi katika hili japo ni kweli lina maumivu kwa watumiaji wa bando. Lakini ni maumivu yasiyo na uhalisia. Bando ni mfumo wa promotion katika biashara, sasa vipi promotion uiwekee sheria au umlazimishe mtoa promotion au offer iwe endelevu au ya kudumu? Tuwe objective wakati mwingine.
Huku TiGO/ZANTEL kule Taifa Gesi, nchi hii sasa ni rasmi wapo watu na viatu. Utetezi wa viongozi hutegemea uwepo wa vitu hivi viwili, lakini ni lazima maslahi yawe ya kibiashara zaidi. Kundi la wanamtandao lipo upya kikazi zaidi.Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.
Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi ukadai hata ukitumia mara moja.
Nape amesema hofu yake ni kutumia Bunge kushutumu uwekezaji mkubwa kuna wizi inakwenda kuharibu huduma ya mawasiliano.
Spika Tulia akifafanua swali la mbunge, alimtaka Nape aeleze kama ni sheria au utaratibu na kama Bunge linao uwezo wa kubadilisha au haliwezekani.
Nape amesema ni utaratibu wa kibiashara ndio maana bei yake ni ndogo kulinganisha na kutumia salio na sio suala la sheria.
====
Akitoa hoja, mbunge Franscis Mtinga ametaka bando ziwe kisheria na Nape kama ambavyo alileta muswada wa kulinda habari binafsi, alete muswada wa kulinda haki kwani mashirika ya simu yanaibia wananchi sana. Mbunge ametaka kutopangiwa jinsi ya kutumia bando alilonunua.
Mwendazake alikuwa sahihi kabisa kuhusu huyu jamaa na wenzake.Hivi ndo huyu kweli kipindi kile alitembea kwa miguu kwenda kuomba msamahaa leo anajibu juu juu tu tunavyokandamizwa na hawa watu wa mitandao ya simu.
Anyway. Lakini mbona basi hilo bundle halina uhalisia? Mbona wanakuuzia sms 300 ukituma 8 wanakuambia umekaribia kikomo zikifika 10 zimeisha still uko ndani ya muda?Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.
Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi ukadai hata ukitumia mara moja.
Nape amesema hofu yake ni kutumia Bunge kushutumu uwekezaji mkubwa kuna wizi inakwenda kuharibu huduma ya mawasiliano.
Spika Tulia akifafanua swali la mbunge, alimtaka Nape aeleze kama ni sheria au utaratibu na kama Bunge linao uwezo wa kubadilisha au haliwezekani.
Nape amesema ni utaratibu wa kibiashara ndio maana bei yake ni ndogo kulinganisha na kutumia salio na sio suala la sheria.
====
Akitoa hoja, mbunge Franscis Mtinga ametaka bando ziwe kisheria na Nape kama ambavyo alileta muswada wa kulinda habari binafsi, alete muswada wa kulinda haki kwani mashirika ya simu yanaibia wananchi sana. Mbunge ametaka kutopangiwa jinsi ya kutumia bando alilonunua.
Sasa hivi 1000 ni mb 300 imagine...Nape anapaswa kuwa upande wa wananchi .
Kwanini anawasemea waendesha makampuni ya mawasiliano? Sisi tunalalamika kwamba huduma za internet zimekuwa ju Sana, hata vile vifulushi tulivyo kuwa tunatumia awali kwa bei inayo endana na uchumi wa wananchi wengi vimebadilishwa na kuwa ghari.
Sasa iweje awajibie hao anawao waita wawekezaji? Ndiyo kusema wamepandishiwa gharama za uendeshaji karibu marambili kama walivyo ongeza gharama hizo kwa wananchi?
Sio kitambi kinaota kichwani?Nape amevimbiwa hadi kitambi kinaota kifuani badala ya tumboni!
Analinda brand. Kutengeneza brand si jambo dogo! Ninakumbuka kauli zake hizi wakati wa sekeseke la Makonda na watuhumiwa wa 'kuuza unga'.Sasa iweje awajibie hao anawao waita wawekezaji?
Umesema Kitu kikubwa sana!Bundle huenda ni mradi mpya wa hidden tozo
Kwa hiyo promotion ndiyo inahalalisha udanganyifu wa biashara? Kuwa objective Mkuu.Nape yuko sahihi katika hili japo ni kweli lina maumivu kwa watumiaji wa bando. Lakini ni maumivu yasiyo na uhalisia. Bando ni mfumo wa promotion katika biashara, sasa vipi promotion uiwekee sheria au umlazimishe mtoa promotion au offer iwe endelevu au ya kudumu? Tuwe objective wakati mwingine.
Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.
Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi ukadai hata ukitumia mara moja.
Nape amesema hofu yake ni kutumia Bunge kushutumu uwekezaji mkubwa kuna wizi inakwenda kuharibu huduma ya mawasiliano.
Spika Tulia akifafanua swali la mbunge, alimtaka Nape aeleze kama ni sheria au utaratibu na kama Bunge linao uwezo wa kubadilisha au haliwezekani.
Nape amesema ni utaratibu wa kibiashara ndio maana bei yake ni ndogo kulinganisha na kutumia salio na sio suala la sheria.
====
Akitoa hoja, mbunge Franscis Mtinga ametaka bando ziwe kisheria na Nape kama ambavyo alileta muswada wa kulinda habari binafsi, alete muswada wa kulinda haki kwani mashirika ya simu yanaibia wananchi sana. Mbunge ametaka kutopangiwa jinsi ya kutumia bando alilonunua.
Udanganyifu upi.?Kwa hiyo promotion ndiyo inahalalisha udanganyifu wa biashara? Kuwa objective Mkuu.
Sema maCR wengine wana mafungu. Kwa hiyo , hana hasara atakapokuja kufanya supplementary au probation!Hii ni sawa na lecturer atoe test nje ya syllabus darasa zima lifeli halafu CR japokua nae kafeli lakini asimame upande wa lecturer... Tumepigwa!
Kupromote kifurushi cha GB 1 kisha kumpa mteja MB 800 kwa bei Ile ile ya GB 1 huo ni udanganyifu.Udanganyifu upi.?
Noma Sana aisee CR Mnoko anaboa sanaHii ni sawa na lecturer atoe test nje ya syllabus darasa zima lifeli halafu CR japokua nae kafeli lakini asimame upande wa lecturer... Tumepigwa!
1.4GB kwa 5k ...maweeeeeeee!! TumepigwaKupromote kifurushi cha GB 1 kisha kumpa mteja MB 800 kwa bei Ile ile ya GB 1.
CCM oyeeeeeeeeeeVijana wanashindana kukusanya pesa za campaign 2025;
1. January anakamua kwenye miradi ya umeme na Gas
2. Madilu anakusanya kwenye kusamehe kodi.
3. Nape yeye kwenye kugandamiza wananchi kwenye bundles
Kwa kifupi wananchi hatuna hela za kuwahonga, thamani yetu ipo kwenye box la kura!!
Tukutane 2025!!