Wafute alfu dah sijui wengine siyo watz hao nyinyi mmetoka Burundi ambako raia wenye smart phone hawafiki elf 50
Katika hili, Nape yupo sawa.
Mitandao ya simu inaweza kuamua ikafuta hizi huduma za bando maana huko zamani hazikuwepo. Tulikuwa tunaweka Vocha tunatumia hivyo hivyo.
Ni sawa lkn ndio GB MOJA iwe elfu tatu kutoka elfu moja ?Hakuna sehemu duniani unapewa service bila kikomo cha matumizi.
Ili wapate wateja inabidi matumizi yawepo
Binafsi naona majibu ya waziri yako sawa. Dando ni bidhaa iliyoko sokoni, uamuzi ni wako kuinunua au kuacha. Labda wadau tutoe mapendekezo swala hili litungiwe sheria itakayowaelekeza Hawa wenye makampuni taratibu za kufuata kwenya hivi vifurushi. Unless that, hawa wanafanya biashara halali.Nape anapaswa kuwa upande wa wananchi .
Kwanini anawasemea waendesha makampuni ya mawasiliano? Sisi tunalalamika kwamba huduma za internet zimekuwa ju Sana, hata vile vifulushi tulivyo kuwa tunatumia awali kwa bei inayo endana na uchumi wa wananchi wengi vimebadilishwa na kuwa ghari.
Sasa iweje awajibie hao anawao waita wawekezaji? Ndiyo kusema wamepandishiwa gharama za uendeshaji karibu marambili kama walivyo ongeza gharama hizo kwa wananchi?
Na lipa tozo mkuu😂sasa wewe kodi unalipa? 😂 😂 😂 😂 hata ingekua mm, mtu anatoa mabilioni kila mwezi kwenye kodi peke yake alafu na wewe kutoa hata buku jero ya tozo unataka kwenda kufungua kesi mahakamani
Mkuu wengine wanatumia bando kufanya kazi za kuwaingizia kipato.Safi sana Nape mwanangu kabisa awapelekee Moto vijana mnaoshinda insta na Twitter
Watu wanaofanya freelancing wanatumia ugali?unadhan basi kuna la maaana wanafanya na izo bando, shida sana hizi binadam za tz
Wafute alfu dah sijui wengine siyo watz hao nyinyi mmetoka Burundi ambako raia wenye smart phone hawafiki elf 50
Sas wee unataka kurudi huko nyuma Bora bao la Bab ako angepiga pool tu Kama ndio akili zako hz
Waziri wa habari, Nape Nnauye amewataka wabunge kuacha kutuhumu wizi kwenye mitandao ya simu kwa ujumla.
Nape amesema bando ni huduma ya ziada ambayo ina masharti ya muda, mtu akitaka lisiishe uko utaratibu wa kutumia 'Main Tarrif' akitolea mfano tiketi za kusafiria za mwezi ambayo hauwezi ukadai hata ukitumia mara moja.
Nape amesema hofu yake ni kutumia Bunge kushutumu uwekezaji mkubwa kuna wizi inakwenda kuharibu huduma ya mawasiliano.
Spika Tulia akifafanua swali la mbunge, alimtaka Nape aeleze kama ni sheria au utaratibu na kama Bunge linao uwezo wa kubadilisha au haliwezekani.
Nape amesema ni utaratibu wa kibiashara ndio maana bei yake ni ndogo kulinganisha na kutumia salio na sio suala la sheria.
====
Akitoa hoja, mbunge Franscis Mtinga ametaka bando ziwe kisheria na Nape kama ambavyo alileta muswada wa kulinda habari binafsi, alete muswada wa kulinda haki kwani mashirika ya simu yanaibia wananchi sana. Mbunge ametaka kutopangiwa jinsi ya kutumia bando alilonunua.
Upo sawa juu kichwa ngumu. Yeah, ni kweli mi wizi huo sijakutana nao ila nilipata kusikiliza voice clip flani ikieleza hivyo na mhusika yaonyesha ni mteja wa Zantel/Tigo. Hiyo siyo sahihi hata kidogo. Kwa mujibu wa voice hiyo, sababu kubwa ni kuto harmonize baina ya system mbili hizo ( promotion, makato na bando); japo hiyo bado si excuse kabisa.Mbona kama vile wewe ni kichwa ngumu!! Umeelewa alichomaanisha kweli? Unaenda kununua bando promo yake ni 1GB, ila ukilinunua tu unajikuta unapewa mb 800 kwa bei ileile. Au umenunua sms 200, unatuma sms 10 tayari ujumbe wa kubakiza sms chini ya 7, ukituma 2 tu tayari zimeisha. Wizi huu upo hata kama wewe hujakutana nalo.
Hakuna asielipa Kodi hii nchi kila MTU analipa Kodisasa wewe kodi unalipa? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata ingekua mm, mtu anatoa mabilioni kila mwezi kwenye kodi peke yake alafu na wewe kutoa hata buku jero ya tozo unataka kwenda kufungua kesi mahakamani
Salio la kawaida lipo kisheria kifurushi ni promotionIna maana kati ya salio la kawaida yaani vocha na kifurushi kipi kipo kisheria na kipi ni promotion.?
Hebu nielewesheni
Kosa la Nape hapo ni nini?