Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

Nape: Bando ni huduma ya ziada, ukitaka lisiishe tumia salio la kawaida. Mbunge ataka liwe kisheria

Kama bando ni huduma ya ziada je kwenye huduma ya msingi tuseme 10k unapata mb ngapi
Hii huduma wanayoita ya ziada watu ndio wanaitumia sana na imeshakuwa ya msingi isiwe kigezo cha kuwazulumu wateja
Kwenye 10k wastani unapata Gb3.4
 
Sasa nimeelewa ni kwanini mafuta soko la dunia yakipanda basi na agents wanapandisha hapo hapo ila yakishuka wanasubiri stock ya nyuma iishe. Waziri mwenye dhamana kazi ni kupambania wananchi siyo kutoa majibu dry, sawa ni ofa kwa hyo kupitia ofa ndo uwapige watu? Vipi nikienda kwenye matumizi ya kawaida ndo yana bei elekezi kuwa kila mtandao kwa dakika 1 ni sawa na kiasi fulani cha pesa?
Bei elekezi dakika 1 =60 Mb 1 isizidi tsh 3/=
 
Huyu mjinga ameshaiona hii nchi ni ya mama yake.

Blalifool.
Kosa la Nape ni nini au kwa sababu kwa sababu siku hizi unamchukia Rais Samia ndio umeamua kujiunga na kundi la pinga Pinga?
 
Sioni kama uyo bwana nape kasimama upande wa wananchi,kwa hili, nazan kwake yeye ni sahihi kwa yote
 
Kosa la Nape ni nini au kwa sababu kwa sababu siku hizi unamchukia Rais Samia ndio umeamua kujiunga na kundi la pinga Pinga?
Kwa akili zako zilivyo ndogo mtu akiandika jambo ambalo halikufurahishi basi anakuchukia.
 
Asante mwenye akili kubwa ila siku zote mwenye chuki ajifichi
Vilaza ndivyo mlivyo siku zote.

Mkikosolewa you take things personal.

Hapo nakiri siwezi badilisha mtu wa aina hiyo.

Na hata akikasirika hainifanyi niache kusema ukweli.

Atajifunza tu huko mbele ya safari.
 
Sheria za soko huria zinakwenda sambamba na sheria za nchi na serikali.

Leo tigo akishusha bei chini ya hapo atokea waziri mwenye dhamana anakwenda kumuomba hela na akigoma anaenda kumbana kwa sheria za kodi.

Mfanyabiashara wa kawaida tu akifuatwa na mkurugenzi wa halimashauri akaombwa hela akigoma wanaanza mletea zengwe kwa kutumia TRA na vyombo vingine. Hii ni matokeo ya sheria zinazosababisha wanasiasa wapumbavu kuwa na influence kwenye uchumi na biashara.

Unapokuwa na siasa za kitoto hivi usitegemee inchi kupiga hatua kiuchumi.

Hapa ni wazi nape kuna kitu anapewa hakuna mtu anatetea jambo ambalo hana maslahi nalo. Nina uhakika hata angekuwa makonda na ujinga wake ila angeingiwa na huruma na kutetea raia ila huyu jamaa ana roho mbaya sijawahi kuona na ni mbinafsi na hasidi nambari moja.
huo ndio msimamo wangu
 
haya wananchi wa jimbo la nape mkampe tena kura 2025 aendeleze kutetea wawekezaji kama vile wawekezaji ndo walimpigia kura
 
Hakuna asielipa Kodi hii nchi kila MTU analipa Kodi

Ukinunua hata Pipi dukani umelipa Kodi au hujui wewe taahira

😂 😂 😂 sasa nani hajui ilo, AJIRA + KODI hio sio kazi ndogo, sasa wewe umenunua pipi unataka bando ziwekwe kutokana na kitambi chako? 😂
 
Back
Top Bottom