Kwenye 10k wastani unapata Gb3.4Kama bando ni huduma ya ziada je kwenye huduma ya msingi tuseme 10k unapata mb ngapi
Hii huduma wanayoita ya ziada watu ndio wanaitumia sana na imeshakuwa ya msingi isiwe kigezo cha kuwazulumu wateja
Bei elekezi dakika 1 =60 Mb 1 isizidi tsh 3/=Sasa nimeelewa ni kwanini mafuta soko la dunia yakipanda basi na agents wanapandisha hapo hapo ila yakishuka wanasubiri stock ya nyuma iishe. Waziri mwenye dhamana kazi ni kupambania wananchi siyo kutoa majibu dry, sawa ni ofa kwa hyo kupitia ofa ndo uwapige watu? Vipi nikienda kwenye matumizi ya kawaida ndo yana bei elekezi kuwa kila mtandao kwa dakika 1 ni sawa na kiasi fulani cha pesa?
Kosa la Nape ni nini au kwa sababu kwa sababu siku hizi unamchukia Rais Samia ndio umeamua kujiunga na kundi la pinga Pinga?Huyu mjinga ameshaiona hii nchi ni ya mama yake.
Blalifool.
Kwa akili zako zilivyo ndogo mtu akiandika jambo ambalo halikufurahishi basi anakuchukia.Kosa la Nape ni nini au kwa sababu kwa sababu siku hizi unamchukia Rais Samia ndio umeamua kujiunga na kundi la pinga Pinga?
Utakuwa umeset mwenyeww utumie bando tu...Mfano Airtel kama una salio la kawaida haikubali Data lazima ujiunge bando, hapo unasemaje?
Asante mwenye akili kubwa ila siku zote mwenye chuki ajifichiKwa akili zako zilivyo ndogo mtu akiandika jambo ambalo halikufurahishi basi anakuchukia.
Vilaza ndivyo mlivyo siku zote.Asante mwenye akili kubwa ila siku zote mwenye chuki ajifichi
huo ndio msimamo wanguSheria za soko huria zinakwenda sambamba na sheria za nchi na serikali.
Leo tigo akishusha bei chini ya hapo atokea waziri mwenye dhamana anakwenda kumuomba hela na akigoma anaenda kumbana kwa sheria za kodi.
Mfanyabiashara wa kawaida tu akifuatwa na mkurugenzi wa halimashauri akaombwa hela akigoma wanaanza mletea zengwe kwa kutumia TRA na vyombo vingine. Hii ni matokeo ya sheria zinazosababisha wanasiasa wapumbavu kuwa na influence kwenye uchumi na biashara.
Unapokuwa na siasa za kitoto hivi usitegemee inchi kupiga hatua kiuchumi.
Hapa ni wazi nape kuna kitu anapewa hakuna mtu anatetea jambo ambalo hana maslahi nalo. Nina uhakika hata angekuwa makonda na ujinga wake ila angeingiwa na huruma na kutetea raia ila huyu jamaa ana roho mbaya sijawahi kuona na ni mbinafsi na hasidi nambari moja.
Yaani usipojiunga bando kwa 10k unapata gb 3.4Kwenye 10k wastani unapata Gb3.4
Hakuna asielipa Kodi hii nchi kila MTU analipa Kodi
Ukinunua hata Pipi dukani umelipa Kodi au hujui wewe taahira
Watu wanaofanya freelancing wanatumia ugali?
Na lipa tozo mkuuπ
wapo wanaotumia vizuri, but i doubt wengi wanaopiga kelele hata kama wana matumizi mazuri
Hayo ni makosa ya kiufundi.Kupromote kifurushi cha GB 1 kisha kumpa mteja MB 800 kwa bei Ile ile ya GB 1 huo ni udanganyifu.