daud magigo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 979
- 424
Kauli ya NAPE kwamba CCM itashinda hata kwa goli la mkono haiwezi kuachwa ipite bila ufafanuzi toka Nape,siku nyingi kumekuwa na kelele ya kukosa tume huru nchini.Hivyo Mzee Lubuva ebi tueleze chama tawala watawezaje kufunga goli la mkono na wewe ukiwa Refa?