SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
CCM iko madarakaani kwa wizi wa kura, Nape ametuthibitishia hili, kweli Mungu hamfichi mnafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nikiwa kama mwanachama wa CCM nimesikitishwa sana na kauli ya Nape Nnauye jana akiwa wilayani Sengerema,
"CCM itaingia ikulu hata kwa goli la mkono".
Hii inamaana CCM inawaandaa watanzania kipsychology kuwa tuko tayari kufanya any illegal act ili mradi twende ikulu.
Tuko tayari kuiba kura, tuko tayari kuandikisha watu majina hewa kama ya waliofariki, n.k
Nape aliendelea kusema goli ni goli ilimradi Referee hajaona
Kwana ninaamini CCM kama chama hakina sera ya kushinda kwa goli la mkono na hii ni agenda ya Nape binafsi na huenda aliisema ili kuendeleza harakati zake binafsi za kumuattack mtanzania fulani aliyechukua form ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama chetu.
Nape kama kiongozi mkubwa wa chama amekuwa akijikita kwenye kukibomoa na kukipasua chama kila siku kutokana na MIHEMKO yake na siasa za makundi alizojiingiza.
Kidumu chama cha Mapinduzi, Ushindi wa Maafuriko bila Magoli ya Mkono.
hata mi nawalaumu ukawa na upinzani kwa ujumla wapo kama vile hawapo wamepokea 230m wamegeuka viziwi na mabubu ghafla ila najaribu kujiaminisha ukimya wao wanautumia kupanga mashambulizi mazito kama walivyosema wahenga kimya kikuu kina mshindo mkuu

Huu ni ukweli mchungu sana. ccm ndio chama kinachoongelewa sana na wananchi kuwa na wagombea urais wanaopimika, wanaoweza kuongoza nchi, wenye record safi na wenye uzalendo na mapenzi kwa tanzania.
in fact wapinzani ni wasindikizaji.

Anaongea kwa niaba ya JK!
Huu ni ukweli mchungu sana. ccm ndio chama kinachoongelewa sana na wananchi kuwa na wagombea urais wanaopimika, wanaoweza kuongoza nchi, wenye record safi na wenye uzalendo na mapenzi kwa tanzania.
in fact wapinzani ni wasindikizaji.
"CCM itashinda tu hata kwa Goli la Mkono" Nape
Kauli hii ni hatari mno tena katika wakati kama huu tunajiandaa na uchaguzi mkuu. Lakini hapana shaka kuwa hii ni kauli ya Chama Cha Mapinduzi. Kwa tunaofahamu kazi ya "Katibu wa itikadi na uenezi" ni kueneza anayoagizwa na chama chake, hivyo yote anayoyasema Nape ni kwa niaba ya chama chake.
Ushauri wangu; Watanzania tunahitaji sana kubaki na amani yetu iliyojengwa katika misingi imara na waasisi wetu, vyama ni taasisi za muda, huzaliwa na kufa, lakini ardhi hii itadumu milele. Japo hata mimi naona kila dalili ya siku za CCM kuhesabika, basi watambue hii ni siasa na siasa ni mchezo wa namba, ukiona namba haitoshi wapishe wenzako, CCM inapaswa kujiandaa kisaikolojia. Nasema haya kwa sababu naamini, Tanzania ya leo si Tanzania ya jana, kama CCM wataamua kufunga Goli kwa mkono hapana shaka watanzania hawa ninaowafahamu hawatauacha mkono huo salama, lazima wataukata.
Tafadhali, CCM msituvurugie Nchi
kauli ya nape huenda imetoka kwa mwenyekiti wa tume. huwezi jua. maana majaji wengi ni wanaccm...
unaelewa maana ya KIMYA KINGI KINA MSHINDO MKUU? maana yake ni kwamba UKAWA wapo kimya lakini watakapoanza kuongea magamba watajuta kwanini walikuwa wanatoa kauli za KICHOCHEZI kama hizi.
Chama ambacho msemaji wake ni aina ya Nape kina kila dalili ya kufa...kwa kauli hii ya Nape nitamshangaa mwenyekiti, katibu, makamu wasipokemea kaluli hii... nitaamini kuwa kweli magamba ni sikio lakufa.CCM iko madarakaani kwa wizi wa kura, Nape ametuthibitishia hili, kweli Mungu hamfichi mnafiki.