daud magigo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 979
- 424
Kauli kama hizi zinaweza kuwafanya watu wasusie kupiga kura
Ni hatari sana kuwa na viongozi wa chama hata ktk nchi kutoa kauli ambazo hawajui kipimo cha matokeo yake!Hizi kauli za Nape ni mbaya sana , mbaya zaidi kwenye Chama chake hakuna anayemkanusha. Zitakuja kuleta machafuko.
Kwa kauli hizi hata kama upinzani utashindwa Oktoba . Hata kama watashindwa kihalali sidhani kama watakubali.
Aina hii ya viongozi kama Nape sijui huwa wanafikiria nini.
Nafikiri Nape ni katibu mwenezi wa hovyo kuwahi kutokea kwenye CCM.