Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Wao wamepewa na wauza unga ndio maana wanakamatwa wakishatoka port zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape aache umbea kama ana ujasiri wa kiume mbona hakuzitaja hizo nchi?
Nape kuropokwa ndiyo fani yake
Mwenzako Mwigu Kachamba alijipanga kuimaliza CDM imkala kwake sasa na ww albino naona unajitahidi nikuambie this time ni anguko lako
Azitaje hizo nchi, pia
kwa CCM navyowafahamu ingekuwa ni kweli, tungemuona Kibaraka KOVA
kwenye media anatangaza kuwashughulikia haraka sana. Na ungekuwa ndio
mtaji wao mkubwa kuelekea 2015, propaganda za NEPI zakitoto sana.
Ajipange upya.
Tunajua ccm
wanaburuzwa na nguvu ya umma kutengeneza katiba, haijawahi kuwa ajenda
yao. Watalopoka mengi lakini mwishowe watatekeleza ajenda ya Umma,
katiba itapatikana tu. Pole sana Nape, mwulize Kombaini alipobanwa
athibitishe kuhusu hayo madai yako alijificha wapi.
Tunaomba awe waz basi..hizo pesa wanatoa wap.!?
Wacheni kumtukana nape kaleta mada yake bora mujadili muhoji hizo hela anazo sema zimekuja kwa kuharibu katiba mpya zimeandikwa wapi?muu lizeni vizuri wazungu gani wametuma pesa na kwenye account ya nani?aweke data zote sisi wananchi tujadili na kama ni hela haramu bank kuu ipo lazima wanavielelezo vyakutosha tusikurupuke tu