Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

Siku hizi sheria ya vyama vya siasa inaruhusu kupokea hela za wafahdhiri? Nape unatakiwa udhibitishe pasipo shaka kiasi gani walipokea na serikali ilikata kodi kiasi gani? Kinyume na hapo wewe ni sawa na kamba koche mavi yanakaa kichwani huwezi kufikiri vizuri.
 
Hajui wake za watu ni sumu, aendeleee kutembea na wake za watu. Mwigulu na Lowassa anamuangalia na jicho la kishushushu. Video yake inatengenezwa kila siku...... Nape heshimu ndoa za watu. Huyo mwanamke atakupelekea kubaya
 
kwa jinsi niijuavyo chadema, watajifanya kumpuuza Nape kumbe ukweli unawatekenya

Hana sumu huyo, Ata akiivua nguo chadema kwa propaganda za kisiasa, kwani nguo zilizovuliwa ndani ya chama hawajavaa au ndio wanataka wote tuwe uchi.

then hatuwezi kumjibuatatumalizia pumzi ya kuwapigania wananchi, Nyie helkopta moja tu roho zinawauma Ndesamburo ameshaagiza zingine sasahivi ndio mtakufa kabisa. hatukusanyi wala kuiba pesa za watanzania ili kufanikisha harakati zetu.
 
Argument zake ziko kaa za mtoto wa darasa za saba
 
Mimi ninavyoelewa katiba haitengenezwi na wabunge bali watanzania wote. Sasa ajabu ya maajabu ni kuwaona wabunge waupinzani wakijiveka haki ya kututengenezea katiba yetu. Kama ni pesa zao na wale wenyewe na mtuachie taifa letu na tutengeneza katiba yetu. Ndio maana beregu anawadharau viongozi wake kwa kuendeleza agenda zao za kichama badala ya kitaifa.
 
Last edited by a moderator:
sasa naanza kujua ndio maana serikari inakataza bangi yani inaweza ikasababisha uongee hata kitu ambacho hata wewe kesho yake wakikuuliza utasema wameninukuu vibaya
 
Nape anatembelea mikoa ya kanda ya ziwa Victoria.
Sasa nape awaeleze wananchi wa kanda hiyo, ni kwa nini elimu ya watoto wa wananchi hao inadorora wakati Tanzania ina utajiri mkubwa wa mali asili.
Nape afafanue hilo kuzingatia kuwa leo watoto wetu wanaanza mitihani yao ya darasa la saba.

Elimu ya Tanzania, Miaka 52 baada ya uhuru ...!!!!
1057_554003714616842_808022863_n.jpg
 
Nape mtu wa ajabu kabisa.........yaani keshasahau nani alishinikiza katiba mpya ije na nani alipinga katiba mpya ije?
 
Mkuu, kwa kuwa Nape ni kiongozi wa chama tawala, kauli yake si ya kubeza hata kidogo. huwezi jua ana ushahidi kiasi gani katika hilo. sote tutafakari kwa pamoja

...mkuu maantiki unayotaka kuimbatanisha kauli ya nape na nafasi yake haina mashiko kwa sasa. integrity ya ccm when it comes to maslahi yao, wako tayari kusema/kufanya lolote kwa wakatii huo. pili kama anaushahidi kwa nini asitoe hadharani..? mbona chadema walitaja hadharani majina ya mafisadi tena mara mbili na tukaona matokeo yake, chadema wametaja kwa majina na namba za simu watu waliohusika na utekaji na kung'oa kucha, kwa nini yeye aweke vificho kama kweli analinda maslahi ya nchi..? tatu wakati woote nape hujitokeza na hoja kama huzi pale anapoona upepo wa kisiasa unavuma vibaya upande wa chama chake hasa uvundo wa naibu spika kuhusianishwa moja kwa moja na chama chake. mwisho hii si mara ya kwanza kutoa kauli kama hizo na hakuwahi kuthibitisha hata mara moja, na hili la kutabiri mwisho wa chadema ni mbinu chafu amabazo wanazitumia kuhujumu cdm kwa mipango ya siri ili mwisho wa siku waseme tulitabiri na ndicho alochokuwa anafanya yule mtabiri wenu aliyekufa, anazusha jambo kumbe watu wamemtumia tu aseme wao watekeleze kama utabiri kumbe ni mkakati...
 
kama ni za kizushi, aliwatuhumu kuingiza SILAHA nchini, waliishia wapi na kutakwa kwenda mahakani? miongni mwa watu ambao hawabahatishi kutoa habari za uhakika za CDM ni NAPE, mimi namkubali sana.

...endelea kumkubali ila mshauri atoe angalau hata ushahidi mdogo tu ,maana hii si mara ya kwanza kuropoka bila ushahidi, kama vipi msaidie kuleta ushahidi..
 
Ni heri nimpe kura yangu Mtikila wa DP kuliko kuipa CCM.
 
Wale ambao ajenda ya Katiba haikuwepo kwenye Ilani zao ndio wanaovuruga mchakato wa Katiba!
 
CCM wao wanatumia fedha wanazopata kwenye biashara yao ya dawa za kulevya na zeKinana kutuletea katiba mpya yenye mlengo wa chama kimoja...
 
Hajawahi kuwa timamu,kiti maalum achukue form agombeee aone kama ana jeuri.mteule
 
"Wenzetu hawa nasikia wamepewa mabilioni toka nje kwa kisingizio cha kushiriki mchakato wa katiba, na kama ilivyo kwa vibaraka wengine katika bara la Afrika lengo la mapesa hayo sio kuwawezesha kushiriki bali kuanzisha fujo na vurugu.

"Babu atwambie alifuata nini nje? Na pesa za kuzunguka na misafara miwili tofauti ya helkopta walitoa wapi? Na watwambie kama walisharudisha mrejesho kwa wafadhili .

Kiongozi wa Kitaifa CCM na kauli za ajabu:
Unasikia CHADEMA wamepewa mabilion toka wapi?Tufanyie kazi habari zako za"kusikia"?

Kiongozi wa Kitaifa Nape unatakiwa uje na data za ukweli kuthibitisha madai yako;habari za "nasikia"waachie viongozi wako wa mitaa sio wewe!
 
kwa jinsi niijuavyo chadema, watajifanya kumpuuza Nape kumbe ukweli unawatekenya
KAMA ZAWADI YA KUSEMA SANA NI FEDHA! BASI ZAWADI YA KUKAA KIMYA NI DHAHABU.
Kumbuka kukaa kimya ni sehemu ya jibu.(si unajua kichaa akichukua nguo unapooga unatakiwa kufanya nini? ukimfukuza tu basi wewe usie na nguo utanekanaje) Acha wenye uwezo mndogo waendelee kubwabwaja maana wamebahatika kuongoza watu wenye uwezo mkubwa
 
Nape bado yuko usingizini. Eti nini mwisho wa CDM? Nadhani anazungumzia kinyume chake au mwisho wa magamba. Brain capacity ni ndogo sana ndio maana baaada ya kete yao ya kutunga ugaidi kushindwa na M4C kuzidi kushika kasi sasa wamekumbuka kuzunguka mikoani kukusanya kadi za CDM.

Kwanza mchezo wa kuzungusha kadi umepitwa na wakati. wakae mkao wa kuliwa kila wananchi watakapopewa fursa ya kuchagua. Waende pia AR, MOSHI, MWANZA na MBY kufanya usanii wao. na wanamageuzi wanasonga mbele.
 
Back
Top Bottom