Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

Nape: CHADEMA wamepewa fedha na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba

CCM mwisho wao umefika, na kaburi lao lipo tayari, bado kwenda kubeba mzoga tu mochali.
 
katika watu wasioaminika nchi hii ni pamoja na huyu jamaa.
 
Labda atuweke wazi kuwa walitumia gharama kias gani kuyabemenda mabaraza ya katiba au ilikuwa free of charge..?
 
Akili ya nape inatia wasi wasi sana, uropokaji ndio fani inayomfaa, anashindwa kupima athari za maneno yake katika mahusiano yetu kimataifa
 
...naona bwanamdogo nape anazidi kujivua nguo. Ni wazi hoja ni za kizushi na kufilisika si tu kisiasa bali kimtazamo pia...
 
kwa jinsi niijuavyo chadema, watajifanya kumpuuza Nape kumbe ukweli unawatekenya
 
...naona bwanamdogo nape
anazidi kujivua nguo. Ni wazi hoja ni za kizushi na kufilisika si tu
kisiasa bali kimtazamo pia...

Mkuu, kwa kuwa Nape ni kiongozi wa chama tawala, kauli yake si ya kubeza hata kidogo. huwezi jua ana ushahidi kiasi gani katika hilo. sote tutafakari kwa pamoja
 
CHADEMA mbona kazi wanayo, wakati wanapanga kususia kumsalimia MWIGULLU, NAPE naye anawanika tena , sasa yeye watakutana wapi ili wamsusie?
 
...naona bwanamdogo nape anazidi kujivua nguo. Ni wazi hoja ni za kizushi na kufilisika si tu kisiasa bali kimtazamo pia...

kama ni za kizushi, aliwatuhumu kuingiza SILAHA nchini, waliishia wapi na kutakwa kwenda mahakani? miongni mwa watu ambao hawabahatishi kutoa habari za uhakika za CDM ni NAPE, mimi namkubali sana.
 
Hivi uenezi na uzushi vina maana sawa!? Huyu jamaa nadhani alipaswa kuitwa katibu wa itikadi na uzushi wa ccm. Ndo alichobakiza kwa sasa. This poor thing.
 
eti hawawatetei wakulima na wafanyakazi sasa chama kilichomadarakani kimewatetea vip wakulima na wafanyakazi? nakatika bendera yao wameweka jembe na nyundo. Wauza unga wakubwa hawana jipya, toeni hoja tuwaelewe ni bora kuomba pesa ukapewa kuliko kuuza madawa ya kulevya.
 
sikujua wala sikufikiria kuwa nape ni kiazi na mweupe kiasi hicho? unasikia kuwa cdm walipewa fedha? maana yke huna hakika ni stori za vijiweni we mwenyewe umekiri,sasa ya nn kiongozi mkubwa kuzungumza mambo ya udaku? na unasema cdm wanavuruga katiba,katiba ipi? kama ni ya zamani sawa maana ni mbovu,ila kama ni mpya itabidi uombe radhi kwa tz,kwsbb cdm ndo waasisi wa katiba mpya tena kwa nguvu ya umma na ccm ndo ambao walipinga na kukataa katiba mpya kama c mwenyekiti wao,leo haingii akirini eti cdm wanaivuruga na ccm wanaitetea wkt walikataa iyo katiba mpya ko huo utetezi umetoka wapi? nape ebu twambia pesa hzo wamepewa na nani na kiasi gani na lini? tuwekee ushahidi hapa,lasivyo nina wasiwasi na elimu yako,vp hoja ya kuvuana magamba imeishia wapi au we umekuwa gamba ck hz?
 
CHADEMA wajitokeze kumpinga na wamshtaki kama wanaona anasema uongo

Hapana,
Nape apeleke ushahidi kwa msajili wa vyama vya siasa, ili Chadema ifutwe kabisa.
Maana, kwa madai mazito namna hii, msajili ndio anahusika zaidi kuhusu utendaji wa vyama vya siasa.
Haya, Nape Nnauye, peleka ushahidi wako kwa msajili wa vyama vya siasa.
 
Last edited by a moderator:
Ni aibu sana kwa kiongozi wa ngazi ya taifa wa chama tawala kutoa kauli ambazo hazina uthibitisho wo wote!
 
hongera sana Nape kwa kuwaEleza ukweli watanzania. CHADEMA ni janga la taifa na vyombo vya dola vinatakiwa kuwa makini sana wakati huu

Kwanini Nape anapiga sana kelele kwenye majukwaa ya kisiasa, badala ya kupeleka ushahidi wake 'mzito' kwa msajili wa vyama vya siasa ??
Nape anaogopa nini ??
Siamini kama Nape ni muoga kiasi hiki ??
Kama Nape anaamini kuwa Chadema wamefanya 'kosa', apeleke vielelezo kwa msajili wa vyama vya siasa ili hatua stahiki zichukuliwe.
Nape anaogopa sana.. !!
Ritz, hebu mwambie Nape aache woga, na achukue hatua, sio kupiga makelele jukwaani.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka alishasemaga cdm wameingiza fedha haramu kutoka nje akagiza vyombo vya usalama kushulikia jambo hilo sikuona impact yoyote, leo tena anakuja anasema eti chadema wamepewa hela na wazungu kuvuruga mchakato wa katiba ili iwe nini.. Cdm wanafaidika na nini kuvuruga mchakato wa katiba mpya.. Hyu bwana mdogo ache kuropoka, huko ni kufilisika kisiasa..
 
hongera sana Nape kwa kuwaEleza ukweli watanzania. CHADEMA ni janga la taifa na vyombo vya dola vinatakiwa kuwa makini sana wakati huu

Unashabikia usichokijua. Wanaofuruga mchakato wa katiba ni ccm. Kwanza waliandaa counterfeit rasimu (feki) ambayo ilishtukiwa. Kuona hiyo haitoshi, Nepi huyo huyo akataka kuudanganya umma eti walioandaa hiyo rasimu ni wazee hivyo haifai. Hakufanikiwa.

CCM mkaja na swaga serikali tatu ni mzigo, kivipi? Hadi leo hamjafafanua. Hatimaye makalidanganya bunge katika utekelezaji zanzibar imeshirikishwa................ majibu mliyaona. Je, hauoni kwamba CCM ndiyo kinara wa kuvuruga mchakato wa katiba?????????????????????
 
Back
Top Bottom