Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ushahidi upi mkuu, tusisingizie watu kwa sababu to labda wamefanana macho. Sidhani kama kuna kipindi chochote labda tangazo lilitolewa na mhusika mmojawapo kuwa Nape ni mtoto wa fulani. Tuwe serious na tuhuma kama hizi jamani, japo Mzee Nnauye hayupo.Nape Mzee Mnauye siyo Babake, Babake anapatikana Mbeya, ni Mtu mwenye jina kubwa na hadhi kubwa katika Jamii na sasa amestaafu.
Imbombo jilipo, imbombo ngafu ,Ndaga fijo 😅🤣😅
Kama elimu na uwezo ndio vimemuweka pale Nape, basi Tanzania ni nchi ya kuhurumiwa sana.Mzee mnauye alikuwa na Heshima kubwa kuliko Nyerere?
Au mzee nauye alikuwa na Heshima kuliko mkapa? Mbona watoto wa mkapa sio wabunge wala mawaziri?
Point yangu ni kuwa nape Yuko pale Kwa Elimu yake na uwezo wake
Na alichokiongea ndio uhalisia wa uchaguzi wa Africa
Contradiction hii, kwa sababu anaetuhumiwa kumleta ni kipanga sanaMzee Moses Nauye alikuwa na hekima na akili hawezi leta duniani bumunda la Hivi
Kama elimu na uwezo ndio vimemuweka pale Nape, basi Tanzania ni nchi ya kuhurumiwa sana.
Hivi Mkapa ana watoto? Sidhani. Watoto wa Nyerere tunawajua, kina Makongoro walishapewa teuzi za hisani, na wapo waliokuwa wabunge nk. Kwa hiyo bado point ya "kwa heshima" ipo palepale
Nadhani kwa sasa tatizo letu ni kubwa kuliko suala la Nape kwenye nafasi aliyonayo. Ukitafakari sana, unafikiri hata Raisi Samia angependekezwa kuwa mgombea uraisi katika hali ya kawaida, kama sio kifo cha Magufuli? Yaani kwa mfano, baada ya Kikwete, tungeweza kusema raisi anaetufaa baada ya Kikwete awe Samia kutokana na rekodi yake hadi wakati huo?
Sifa za mgombea mwenza sio sifa ambazo tutazitumia kumteua mtu kuwa raisi wetu. Katika kuteua mgombea mwenza, tuna taratibu ambayo mgombea mwenza ni mpango wa kusawazisha mambo na Zanzibar, a political rather than pragmatic process. Kwa hiyo tunaweza kuweka mtu yeyote pale, sifa za uongozi sio kigezo bali U-Zanzibar wake. Na hakuna alietarajia kwamba Magufuli angekufa mgombea mwenza wake awe raisi. In fact, mgombea mwenza huwa anatakiwa mtu ambae hapaswi kuonekana ni makini kuliko raisi, asije akamfunika raisi. Mara ngapi umemsikia Dr. Mpango aki -shine?
Sasa swali ni kwamba, kama tungejua Magufuli angekufa akiwa raisi na makamu wake kuwa raisi, tungemteua Samia kuwa mgombea mwenza? Jiulize hili swali na uniambie jibu la Watanzania wengi kwa swali hili litakuwaje.
Ningependa Pascal Mayalla aje hapa ajibu hii issue kikatiba
Kwa sasa raisi hawezi kutoka Zanzibar ila kama raisi wa bara atakufa. Suala la kupokezana halipo tenaTusisahau uwezekano wa Raisi kutokea Zanzibar. Ikitokea hivyo tutaweka makamo asiye na vigezo vya kuwa raisi?
Isije ikawa unawasema wa kufikia?Yes mkapa ana watoto
Tena Wana shule mzuri tu
Sizungumzii kupokezana. Au katiba imetamka raisi hawezi kutokea Zanzibar?Kwa sasa raisi hawezi kutoka Zanzibar ila kama raisi wa bara atakufa. Suala la kupokezana halipo tena
Amina, Mhubiri
Yana mwisho.Siyo wakenya dunia nzima
Kauli ya Nape ni sahihi au si sahihi??
Acha uongoKwani alichoongea nape ni habari ya uongo?
Shida ya watanzania tunapenda kujidanganya wenyewe hata Kwa mambo ya ukweli
Alichokisema nape ndio ukweli
Hakuna ushindi wa Kura Kwa inchi za Africa
Not only Tanzania ni Africa yote