Akili zako zimegandaMtu yuko ulaya 95% are whites alafu wewe unaona ujiko lissu kupiga picha na white. Hatari sana.
collection= correction
Ni shule tu za kusomea ujinga.
Akili= akiri
Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
Nape Akisema asiseme inasaidia nini? Hilo nalo la kubishana?Lakini ujumbe si umeupata? Au unataka kupinga kuwa Nape hakusema hivyo?
Nape kasema alivyosema na nimeelewa lakini nami nipo katika kuwapa darsa ndogo ndogo, au hamjalipenda hilo?
Nape Akisema asiseme inasaidia nini? Hilo nalo la kubishana?
Natumia keyboard toka za typewriter mpaka leo za kupangusa, nnakuhakikishia hakuna typo ya namna hiyo. Tazama key board yako r iko wapi na l iko wapi?Acha upuuzi ww makumbusho, hiyo ni typing error, ingekuwa amerudia neno hilo hilo zaidi ya mara moja hapo ungekuwa una hoja. Fahamu kwamba ukifanya kosa kwenye heading huna uwezo wa kuedit bila msaada wa Mods.
Siku ya mwisho kila goti litapigwa .Yule mbunge maarufu wa kufunga bao la mkono amesema anajutia tamko lake la bao la mkono na pia kuzuia bunge kurushwa live ilikuwa ni hoja yake dhaifu ya kisiasaView attachment 1026228
In God we Trust
Ukiweka r kwenye l au l kwenye r nakushukia.Peleka upumbavu mbali.
Natumia keyboard toka za typewriter mpaka leo za kupangusa, nnakuhakikishia hakuna typo ya namna hiyo. Tazama key board yako r iko wapi na l iko wapi?
Hizo ni shule tu za kusomea ujinga.
Unatishia matusi JF? Lipi jipya utalotukana ambalo sijatukanwa JF?Nenda mbali, nakuheshimu pls usije ukasababisha nikutusi bure. Kawafundishe vilembwe wako.
Dooo....Unatishia matusi JF? Lipi jipya utalotukana ambalo sijatukanwa JF?
Punguani wahed.
Nenda mbali, nakuheshimu pls usije ukasababisha nikutusi bure. Kawafundishe vilembwe wako.
Siku ya mwisho kila goti litapigwa .
Nadhani kwenye uchaguzi ujao watafarakana sana
Kibanda kishaanza kufuka Moshi
Kiti si walimpa Mshamba,Sasa wanatapatapa