Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

Akili = akiri

Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.

Acha upuuzi ww makumbusho, hiyo ni typing error, ingekuwa amerudia neno hilo hilo zaidi ya mara moja hapo ungekuwa una hoja. Fahamu kwamba ukifanya kosa kwenye heading huna uwezo wa kuedit bila msaada wa Mods.
 
Tunampongeza kwa kuongea ukweli na tunamshukuru Mungu kuwa akili zake zimemrudi. Tabu imebaki kwa yule mshamba wa chattle na mwanae Bashinenga!
Nape Akisema asiseme inasaidia nini? Hilo nalo la kubishana?
 
Acha upuuzi ww makumbusho, hiyo ni typing error, ingekuwa amerudia neno hilo hilo zaidi ya mara moja hapo ungekuwa una hoja. Fahamu kwamba ukifanya kosa kwenye heading huna uwezo wa kuedit bila msaada wa Mods.
Natumia keyboard toka za typewriter mpaka leo za kupangusa, nnakuhakikishia hakuna typo ya namna hiyo. Tazama key board yako r iko wapi na l iko wapi?

Hizo ni shule tu za kusomea ujinga.
 
Natumia keyboard toka za typewriter mpaka leo za kupangusa, nnakuhakikishia hakuna typo ya namna hiyo. Tazama key board yako r iko wapi na l iko wapi?

Hizo ni shule tu za kusomea ujinga.

Nenda mbali, nakuheshimu pls usije ukasababisha nikutusi bure. Kawafundishe vilembwe wako.
 
Nenda mbali, nakuheshimu pls usije ukasababisha nikutusi bure. Kawafundishe vilembwe wako.
Unatishia matusi JF? Lipi jipya utalotukana ambalo sijatukanwa JF?

Punguani wahed.
 
Mwacheni Faiza Foxy atukosoe jamani.Tusijifiche nyuma ya kivuli cha udini na itikadi za kisiasa kuhalalisha makosa yetu ya kiuandshi. Baadhi ya makosa tunayoyafanya yanakera kwa kweli!
 
Check akili za ccm
Baada ya kupatikana Chanel 10
Sasa katumwa nape aichokonoe hoja ya bunge live halafu wale wa std 7 kule bungeni watamsapoti kisha spika atasapoti then ataikazania soon mfalme mwenye kadhabu atatoka na kuiponda hii hoja ya nape kisha bunge live litarudi mwisho ccm watashangilia baba ao kurudisha bunge then at the end maandamo kumpongeza mfalme mwenye gadhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom