Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

Nape: Hoja ya Bunge live ilitoka nje ya Bunge na ilikuwa dhaifu. Bunge kwa sasa halina mvuto na wananchi wamelisusa

"Akili za kuambiwa changanya na zako," je,unakiri kauli hiyo?? 😁😁
 
Uyo nape ni mnafiki kama jiwe bos wake wakati anavimbisha mashavu kutetea bunge lisiwe live hakujua kama anatumika kisiasa? walipanga na wenzake wakijua wanatukomoa wanachi
 
Kumbe ukifanya upuuzi madarakani, ile haki ya wanting inakusumbua daima🤣🤣 pole nape ila nakuelewa Sana kwa sababu Sasa unajua kile kinachofanyika madarakani mwa mawe😁
 
itakua wamemrudishia ubongo wake, kwa maana inasemekana ukipewa uteuzi na mwanyekiti basi ni sharti ukabidhi ubongo wako kwa sekretary, baada ya hapo utaishi kwa kufuata fikra za mwenyekiti, mtazame profesa kabudi, unadhani kuna ubongo wa profesa kule kichwani?? ni kamasi tupu na fikra za mwenyekiti.
kweli kabisa mkuu
 
Yule mbunge maarufu wa kufunga bao la mkono amesema anajutia tamko lake la bao la mkono na pia kuzuia bunge kurushwa live ilikuwa ni hoja yake dhaifu ya kisiasaView attachment 1026228

In God we Trust
Baba mdogo Kikwete hayupo madarakani ... dogo anadhani bado ana nguvu nchini.....
Akajidhani yeye ndiye aliyemuweka JPM madarakani kwa kampeni.... msukuma hajalishi hayo
Anajivua nguo kwa kutoaminika kwa kupinga maamuzi na maneno yake mwenyewe..
Anatafuta kupokelewa nyumba ya jirani
 
Back
Top Bottom