Nape: Kampuni za simu haziibi vifurushi vya intaneti vya wateja

Kwa mimi ninaefahamu nimeprotect kila mahali bado nalalamika unaniambiaje sheikh?
Wanaiba, mtu ukijiunga wiki piga ua, kifurushi lazima kikate siku ya nne au tano,. Hata kama umetumia twitter tu , [emoji23][emoji23]
Hata iwe GB ngapi wanahakikisha wanakata kabla ya siku uliyojiunga
 
GB za wiki zinaisha ndani ya siku mbili
 
Hapo ameshavuta chake hata 300M, unadhani atatetea wananchi tena?
 
Watanzania wengi hawajui matumizi sahihi ya bando. Kuna watu wanaruhusu apps kuji-update na ku-run at the background hivyo kupelekea bando kutumika.
hichi unachosema mimi nakijua toka niko O-level, juzi hapa nimenunua gb nikaweka sim card kwenye Halotel router then nikaconnect kwenye pc yenye window 7 ambayo nimezima update zote (kwa kutokana na exp nimekuwa nikifanya hivi toka niko form 1 na nilikuwa natumia kwa masaa kadhaa) lakini jambo la kushangaza mb ziliisha wakati nilitumia JF tu tena ndani ya nusu saa
nikaunga gb 1 tena,mara hii nilitumia kwenye simu tu,nayo iliisha ndani ya nusu saa,nikawapigia Halotel muhudumu akadai nimezitumia mimi nikamuuliza umewahi kuona wapi gb 1 iishe ndani ya nusu saa kwa kuingia google tu,alinijibu "ahsante kwa kutumia halotel"akakata simu
Wakati mnatutuhumu watanzania hatujui kutumia simu janja mnapaswa kujua tunaolalamika tuna experience miaka mingi ya smartphone/computer na tumesomea haya mambo,mimi natumia internet toka primaly alafu leo mtu anakuja kusema hatuna utaalamu na smartphone !!! na Elimu niliyosoma ni bure ?
 
mkuu,background apps zinatumiaga kbs tu,na unaweza kuzi restrict kama mimi nime restrict lakini bado gb zinaisha kifala
mitandao inatuibia na niwajinga sana,una gb zako unaingia mitandao tena ya nje huko alafu wanakuwekea vi tangazo vya mitandao yetu hii ya ndani mfano Tigo,halotel nk sasa unajiuliza inakuwaje
mimi kampuni ya Tigo inanitumia kila siku sio chini y sms kumi,hapo napo tunawasingizia ?
 
Ndo uwezo wake huo na ndio aina ya watu anaowataka mama yetu saa 100

Sent using Jamii Forums mobile app
Nape na baadhi ya watu hawana uelewa wa data lakini wanatushutumu sisi ndio hatuelewi
mimi miaka yote sikuwa nimewahi kuona background app inatumia 1gb tena sio kwa ku update !! pc yenyewe ukitaka ku update ilikuwaga haimalizi mb 500
kwa kifupi miaka miwili hii tumeibiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…